UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

Attachments

  • Screenshot_20231111-003646.png
    Screenshot_20231111-003646.png
    155.6 KB · Views: 7
Hili la ukanda linaonyesha jinsi ulivyofilisika kifikra. Watu wa kanda ya kaskazini wana historia ya ujasiriamali na utendaji mzuri lakini kutakona na kuwa wa kanda hiyo wanabaguliwa. kwa mfano Kimei. Hata Prof. Mkennda anachofanya kwenye wizara ya Elimu ni outstanding, lakini anapigwa vita. Mpaka watu watakapojifunza kuthamini utendaji na sio ukanda nchi hii itabaki nyuma sana
Well said
Nimeshangaa sanaaa kuona mtuu kama Pascal Mayalla alivyofilisika kimawazoo kiasi hiki.
Hakuna asiyejua watendaji wabobevu wanatoka kanda ya kaskazini, tuna mifano hai Kimei crdb,Comas Kimario KCB,OBED MOLLEL ABSA,Access na mifano ni mengi check NIC ilivyokuwa inakufa kifo cha mende akaja Dr Doriye kafanya mambo makubwa,ni wengi
 
Pia ni watu waaminifu sana!, hiwezi kusikia Msukuma ni mla rushwa au ni fisadi!.
P
sasa utamsikia wapi ikiwa wengi wao hawakuwa serikalini kwa muda mrefu

wao wanahangaika na ng"ombe huko ni sawa na kusema hakuna mmang"ati mwizi

utampata wap ikiwa ajawahi pata nafasi ila ukienda kwenye ushirika hasa vyama vya pamba ndo utajua ni wezi ama.hapana
 
Wasukuma ni wachapakazi sana alafu siyo wezi. Hongera Mihayo
Jamii yoyote ikiwa haina wezi kuendelea utaiona kwenye TV. Kwa taarifa Yako haya mataifa yote makubwa Dunian yameendelea kwa kuibia au kulaghai jamii nyingine. Angalia huu mkataba wa bandari nk. Na ndicho anachofanya kagame hapo Congo. So kuwa na intelligence questiont bila ya intelligence motion ni kaz bure.
 
Aliyekuwepo kapelekwa wapi au katumbuliwa?

1700614642389.png

Jema Msuya​

Acting Chief Executive Officer
Jema Msuya has 22 years experience in the banking industry. Mr. Msuya joined TPB in 2012 as Director of Technology & Operations from Standard Chartered Bank Tanzania where he worked as Country Head of Information Technology from 2008. He holds a Bachelor of Science (Computer Science) from the University of Dar es Salaam and is a Certified Systems Security Professional (CSSP). He is also a certified director by IoDT. Mr. Msuya is currently finalizing his Master of Business Administration (Marketing) from the University of Dar es Salaam Business School
 
Hukusikia kwenye Bunge, hata Tulia alivyoingilia issues za wizara yake? kuna namna ya ku deal na issues za waziri Sio kumfedhehesha public.
Unachoona kwa kutumia uelewa wako Mkenda alifanya maamuzi sahihi? Kwani alichokifanya Tulia kutumia vifungu vya sheria yupi alikuwa sahihi juu ya sakata hilo?
 
Uaminifu, uadilifu na uchapa kazi ni tabia binafsi ya mtu haina uhusiano na ukabila.
Take it from me, kuna makabila uaminifu wao kwenye fedha ni wa mashaka!. Kuna makabila wanawake wao, uaminifu wao kwenye ndoa ni wa mashaka!. Huwezi mlinganisha Mwanamke wa Kikwere na Mwanamke wa Kichagga!. Mwanamke wa kichagga unaweza kumuacha mgombani kumuona ni Krisimasi hadi Krisimasi, na ukamkuta salama!, Mwanamke wa Kikwere lazima aende ngomani!, huko ngomani sasa...!.

Hivyo makabila hayalingani!, Wasukuma ni waaminifu sana na wachapa kazi Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... uhusiano wa kabila la mtu na uchapakazi, na sio uchapakazi tuu, hata ukakamavu, kuna makabila laini laini na makabila wagumu! Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
P
 
Pascal utafanya hawa watu waendelee kuchukiwa aah aah
Kumchukia mtu bila sababu kwasababu tuu ni wa kabila la wachapakazi, ni kujiumiza tuu bure kwa stess, tena kitu kizuri kuhusu kabila la wachapakazi hawa, hawanaga chuki na mtu yoyote!, Mchagga Kiwia kagombea ubunge usukumani Nyamagana, tumemchagua, Mchagga Machemli kagombea ubunge usukumani Ukerewe tumempa!, sasa wewe kabila nyingine, nenda kagombee Uchagani, au Uhayani uone kitakachotokea!.
P
 
Back
Top Bottom