Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mama kaona atamsumbua na kale kamdomo kake bora akampuzishe huko, ukiwa balozi unazibwa mdomo na makalio unless ukatae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well nimeapigia hiyo kwa sababu kuna mtu karipoti kuwa NHC imeruhusiwa na serikali kukopa benki. Jambo kubwa lililoripotiwa katika article hiyo ni kwamba Mwenyekiti wa NHC aliunda tume kuichunguza NHC ambayo ndiyo iliyogundua hayo matatizo na kuipeleka ripoti yake kwa Waziri, ambaye naye aliipeleka kwa Rais. Tume iliyoandika barua hiyo iliundwa na Mwenykiti wa bodi mwenyewe, siyo waziri au rais. In fact kutokana na ripoti hiyo, siyo management tu iliyotimuliwa bali hata bodi nzima ikiwamo na mwenyekiti alieyunda tume yenywe nayo ilivunjwa nao wakatimuliwa.Sasa hiyo uliyo underline unaona ni sababu yenye mashiko?
Ni upuuzi tuu wa Jiwe alitaka apachike watu wake.
Watu dizaini ya kina mchechu Wana connection kubwa Duniani,tunataka functioning nhc sio nhc jina afu mzigo.
Pia kuna yule dada wa TIC alikataa salary ya Magu wamrudishe maana alitolewaga South.
Hakuna hata moja, gharama zimepanda hakuna tofauti ya NHC na other private housing sectors katika market segmentation badala ya kuangalia lowest and middle income wamejikita kushindana na kugombania segment ya wenye nazo (complete U-Turn ya Mission and Objectives ya kuanzisha hili shirika).Hivi toka 2015 hadi 2020 nhc limejengea watu nyumba affordable kiasi gani? 😬😬
Kwa hiyo bwana kindamba na yeye ni mwanasiasa hadi kupewa ukuu wa mkoa......kutoka mkurugenzi TTCL hadi mkuu wa mkoa, mbona huu ni mkorogano aka. mchanyato...
Kasha kufa kibudu huyoKesho msipomuona ikulu ndio mtajua aliko.
Au ni kilaka, ana fit kila sehemu.......Kindamba hakuwa na kolifikeshen za kuteuliwa kuongoza ttcl.
🤣🤣
Kwa hiyo Polepole amestaafishwa ubunge, akatulie Malawi huko sio.
Fagia wabishi wote kuelekea 2025.
Hahahaaaa........ Sisi tulishastaafu kitambo bwashee!
Kitaalam ukiona unasumbua Kisha unateuliwa ubalozi, ujue unatafutiwa TU kisababu uondolewe kwny mfumo😊
Dr Ngw'andu alikataa ubalozi akaja kugombea ubunge Maswa!..asipoenda kuapishwa, bungeni atakwenda?
..namkumbuka balozi mmoja wakati wa Mzee Mwinyi aligoma kuwa mkuu wa itifaki kibarua kikaota majani.
Cc Nguruvi3
hana ujanja huo,POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI …. Haendi
Kumbe polepole ananguvu sana
Kuuliza si ujinga,pole pole ataendelea kulipwa mshahara wa Ubunge au ndiyo kwa heli Ubunge.Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
SanaDu atavuliwa ubunge,naona Mbowe au Lissu wakirudi bungeni.
Mama anaupiga mwingi.