Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Ninavyomjua HP ,Huko kwa Wanyasa Hatakwenda.Yeye siyo wa kupelekwa pelekwa.By the way alisema yeye njaa haiumagi kihivyo.Alifika Dar muda mrefu. na alikuwa na mpango wa kutogombea ubunge baada ya kumaliza muda wake
He will win who knows when to fight and when not to fight.

Sun Tzu

Nadhani hapa ni Check Mate...., aende akafe politically au abaki aendelee na msimamo wake wahumi waendelee kumlia Timing...

Nadhani kama akibaki ajitoe kwanza CCM na aanze kuwachana live hawa wahuni (maybe it may payoff long term)
 
Alikuwa pioneer wa kupinga uamuzi wa serikali yake kuleta chanjo

Sasa. Kapata uteuzi wa kuliwakilisha taifa huko kwa majirani zetu
Kwa taratibu za usafiri na kuingia nchi mbali mbali ni lazima uchanje ...

Najiuliza tu huyu Mhe.Je atachanja ?
Si lazima kuchanja kuingia nchi nyingi za Afrika
 
Hujui kuwa alikuwa ameteuliwa kwenye nafasi hiyo na Kikwete?



Labda maslahi hayo ni yale yaliyo nje ya sheria, ila maslahi ya kawaida kama mishahara na stahiki zake naona ni mambo ya kawaida bila kujali nmkurugenzi ni nani. Sasa kama alikuwa anaruhuru watu kujipatia maslahi kwa urefu wa kamba zao, basi watafurahi tena.



Sababu iliyomfukuzisha wakati huo ni hiyo hiyo, baada ya uchunguzi ulioongozwa na mwenyekiti ya bodi ilionekana ufujaji mkubwa ulikuwa umefanyika.

View attachment 2150411
View attachment 2150415
Sasa hiyo uliyo underline unaona ni sababu yenye mashiko?

Ni upuuzi tuu wa Jiwe alitaka apachike watu wake.

Watu dizaini ya kina mchechu Wana connection kubwa Duniani,tunataka functioning nhc sio nhc jina afu mzigo.

Pia kuna yule dada wa TIC alikataa salary ya Magu wamrudishe maana alitolewaga South.
 
Juzi waliidhinisha mkopo wa kibiashara tsh 164 billioni with government guarantee NHC wamalizie miradi yao iliyokwamia kati washapewa first payment tsh 40 billion.

NHC ilikopa zaidi ya tsh 1 trillion zama za J.K miradi hayo aikulipa. Kwakuwa mkopo ulikuwa na government guarantee sasa hivi linalipwa na walipa kodi; Nehemia alipotaka tena government guarantee kwa miradi ambayo keshaikopea ilihali madeni ya awali serikali inamlipia for poor investment decision and poor management costs za miradi ndio JPM alipoona upuuzi na kumtimua.

Mama shida hiyo kazi sio size yake ni wazi nani anaongoza nchi kwa sasa.

Kumalizia miradi sio shida but does it to be the same people who caused the problems in the first place.
Kumbe huyo jamaa ni jipu namna hii? Kwanini wamrudishe tena?
 
Recycling bad, old, broken, tired people, with nothing new to offer. Uwezo mdogo wa kuchagua watu sahihi kuongoza na kusimamia Taasisi, idara na wizara nyeti kwa maslahi ya Tanzania unaligharimu na utaligharimu sana hili taifa.
Wanatukosea Sana walipa kodi
Mzee kama huyo alikwishastaafu unamrudisha wa nini?

Kaishiwa idea akili nayo imefika ukomo.
 
Akijitoa CCM ndo itakiwa option sahihi zaidi! Ila ataenda wapi? Aende CHADEMA labda kwa kweli atakuwa na platform kubwa sana! Kwangu mimi namuona ni mtu ambaye akifundwa vizuri na CHADEMA anaweza kupeperusha vizuri sana bendera ya CHADEMA na wakapata wabunge wengi sana!
He will win who knows when to fight and when not to fight.

Sun Tzu

Nadhani hapa ni Check Mate...., aende akafe politically au abaki aendelee na msimamo wake wahumi waendelee kumlia Timing...

Nadhani kama akibaki ajitoe kwanza CCM na aanze kuwachana live hawa wahuni (maybe it may payoff long term)
 
Ndugu yangu J.K akipenda aambiliki na finance zenyewe hajui yeye anachoona ni magorofa tu.
J. K mwenyewe ukimuangalia utasema sio yeye anayesemwa hapa.

Kwahiyo majipu yote yanarudishwa taratibu tena Kama kina makamba?
 
Wanatukosea Sana walipa kodi
Mzee kama huyo alikwishastaafu unamrudisha wa nini?

Kaishiwa idea akili nayo imefika ukomo.

Hawataki watu, vijana makini, kuhoji, wenye akili zao timamu, wawajibikaji na wenye uchungu na rasilimali za nchi.

Ni nafasi nzuri kuuziana nyumba, kupeana viwanja, kukwepa kodi bandarini, kupiga madili bila wasiwasi wowote sehemu zote muhimu kwenye uchumi wa TZ.
 
Back
Top Bottom