Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Waziri wa fedha tena awe kwenye mipango, kunahitaji checks and balance katika utendaji.Wadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Wadau hamjamboni nyote?

kuelekea 2025 mama anaupiga mwingi sana...Kwa nafasi yake mpya, ina maana nafasi yake ya Uwaziri imetamatika?
Au anaendelea nao?
Hapo ataji check mwenyewe,ataiba, kisha ata balance,umeelewa hiyo hesabu kijana wangu?Waziri wa fedha tena awe kwenye mipango, kunahitaji checks and balance katika utendaji.
Utafikiri watu wameisha!!!Mbunge
Waziri wa fedha
Mjumbe wa sijui nini nini uko
ANY WAY
Na haishindikani unafikiri? Ni basi tu yaniHivi huyu witch wake awe anamlipa sana. Au anawagawia sana wanaomteua?. Kwa utendaji upi ndugu zangu?. Hii nchi kweli ni yale yale aliyoongea mzee Jomo Kenyata. Hii nchi Ukute kweli akaja kuwa presderrr?
Simkubali hata nusu huyu njemba. Huyu ni sehemu ya muendelezo wa waTZ kuishi maisha magumu. Hana aibu huyu njemba. Aliwahi sema waTz wanataka tozo. Huyu ndio chanzo cha TRA kufirisi watu kwa sasa. Huyu kaweka tozo tena kwenye mabank. Ukitoa tu elfu 35000 cash unakatwa 351. Huyu anaamini kuvuna asipopanda. Kukamua ng'ombe asiemlisha. Huyu anaamini chanzo cha mapato ya serikali ni kuwarundikia kodi waTz,kuwafukalisha huku yeye akineemeka. Hii nchi kweli ya kuionea hurumaNa haishindikani unafikiri? Ni basi tu yani