Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minyama tu mkuu, akikutanisha posho zake tu zote mtumishi wa Umma wa kawaida au mwalimu tu anamzidi mara hata 10.Kwa nafasi yake mpya, ina maana nafasi yake ya Uwaziri imetamatika?
Au anaendelea nao?
Mama tukumbuke majobless huyo Mpaka mtoto wake wa primary wapo kwenye payroll.Wadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
View attachment 3002723
🤣🤣🤣🤣Kazi anazoziweza kizimkazi ni mbili tu ambazo ni kuteua wahuni na kusafiri basi.
Hiyo sentensi ya mwisho ni sahihi zaidi.Hiyo ndio roho ya samiah kiuchumi!
Mwandikaji mkuu wa proposals Kwa donors ili tupate misaada !!!
Huyo no kijana wa jk pia!
Anatakiwa awemo Ili aeleweshwe vizuri humo ndani.Waziri wa fedha tena awe kwenye mipango, kunahitaji checks and balance katika utendaji.
Ndiyo maana nchi haiendelei sura ni zile zile hakuna ubuni wowoteWadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
View attachment 3002723
Sina tatizo na uteuzi lakini siku zote wateuliwa ni wale wale hakuna damu changa wala sura mpya. Hopeless kabisaWaziri wa fedha job description yake si ndio chief strategist wa serikali.
Tanzania tunachukulia waziri wa fedha ni mtu mdogo wakati technically waziri wa biashara, waziri wa kilimo, uvuvi na sector ya yoyote ya uzalishaji hao ni junior ministers kwa waziri wa fedha yeye ndio main architecture wa mipango ya serikali.
Sasa unamteua vipi tena waziri kuwa kwenye tume ya mipango unless hiyo tume kazi zake hazina coordination na serikali.
Get serious people to run that country
Umetuma maombi ya upolisi CCP?Hii nchi bhana! Ngoja tu nijinyamazie.
Bora tukashabikie yanga tuHii nchi bhana! Ngoja tu nijinyamazie.