UTEUZI: Rais Samia Amteua na kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa mjumbe tume ya mipango

Yaani hata hatujielewwi tunaenda wapi na tunataka nn..
 
Hakika kizimkazi ndio sector anayo ipenda MNO kuteua na kutengua TU.hapo chamwino ni peupe MNO.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwa nafasi yake mpya, ina maana nafasi yake ya Uwaziri imetamatika?

Au anaendelea nao?
Minyama tu mkuu, akikutanisha posho zake tu zote mtumishi wa Umma wa kawaida au mwalimu tu anamzidi mara hata 10.
 
Mama tukumbuke majobless huyo Mpaka mtoto wake wa primary wapo kwenye payroll.
 
Waziri wa fedha job description yake si ndio chief strategist wa serikali.

Tanzania tunachukulia waziri wa fedha ni mtu mdogo wakati technically waziri wa biashara, waziri wa kilimo, uvuvi na sector ya yoyote ya uzalishaji hao ni junior ministers kwa waziri wa fedha yeye ndio main architecture wa mipango ya serikali.

Sasa unamteua vipi tena waziri kuwa kwenye tume ya mipango unless hiyo tume kazi zake hazina coordination na serikali.

Get serious people to run that country
 
Waziri wa wizara ya fedha na mipango, ateuliwa kuwa mjumbe wa body ya mipango.

Only in Tanzania
 
Ndiyo maana nchi haiendelei sura ni zile zile hakuna ubuni wowote
 
Sina tatizo na uteuzi lakini siku zote wateuliwa ni wale wale hakuna damu changa wala sura mpya. Hopeless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…