Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Wangekuwa mafisadi basi wangekuwa wamehukumiwa na Mahakama. Magufuli alikuwa hapendi watu wenye akili. Yeye alikuwa anapenda kuzungukwa na mazwzwa kama Prof Kabudi, Aggrey Mwanri au Makonda
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Hebu tupeoutputs. Ninyi ndio mnaomaminiwatuwenye maneno mengi ndio wenye akili. Acually ni kinyumechake!
 
Nyie ndie kuina chanhu chako na changu nchangu, na mnadhihirisha waziwazi. Time will tell!
 
Nashindwa kuelewa hata saa ngapi wanafanya hizo kazi .
Ukikaa kidogo kuweka tako ofisini ushatenguliwa, bado unaaga ushateuliwa, uko safarini kuelekea kituo kipya cha kazi ushapangiwa kazi ingine
Ndo hivyo mama anajua ukihamisha kutoka hapa kwenda pale ndo ufanis unaonfezeka kama alishindwa kazi kituo x kuna ushahidi gani kuwa atapaform kituo y
 
JPM alipomtumbua Mchechu lazima kulikuwa na sababu za kimsingi? Kwanini tusiambiwe ukweli? Kuna anayejua?
 
Mwl alitupeleka chaka la ajabu.kambona alikuwa mtu sahihi sana nchi hii.
 
Mbona kamteua huyo jamaa Mkenya kwenye shirika la Nyumba ?
Mchechu marehemu alikuwa ni mtu wa Tanga, mzigua. Alikuwa na eneo pale mikocheni pembeni ya yale maghorofa marefu yanayotazamana na Kida Plaza kiwanja kinachofuata kama unaelekea Mikocheni B upande wa kulia, kiwanja fulani kilikuwa kinajaa maji miaka ya nyuma wakati wa masika.

Ni wale madaktari wa mifugo wa kwanza kwanza nchini, baadae akanunua eneo huko mbele ya uwanja wa ndege.
 
Teuzi zinakwenda kwa Waislamu wa Zanzibar na Wakiristo wa bara.

Waislamu wa bara itafuteni Tanganyika yenu mliyoipigania kwa nguvu sana, haiwezekani Wazanzibari wanakula share yenu kiulaini kwenye mambo ya nchi yenu ya Tanganyika.
Hizi ni akili zilizofilisika za baadhi yetu. Wakati ule wa marehemu JPM hakuna mtu aliyelalamika wasukuma kuwa kila mahali.

Leo mnakuja na gia nyepesi ya chuki za uislam na ukabila. tafuteni hoja yenye mashiko hii ya sasa imechacha.
 
Chuki zako zinakusumbua bure tu, Mchechu ni mmoja wa vijana wa usalama wa taifa wa miaka mingi.

Ni network kubwa ya vijana waliokuwa wakichukuliwa tangu mashuleni miaka hiyo.
 
Habari wapendwa?

Nimesikia Nehemia Mchechu kateuliwa kuwa Msajili wa Hazina. Nini haswaa majukumu ya MSAJILI WA HAZINA?

Je, majukumu yameongezeka kwa Mchechu au kinyume chake?
 
Usiwe mvivu kusoma mkuu..ingia hapa..www.tro.go.tz utafahamu kila kitu..
 
Katiba inaruhusu. Hata angechukukliwa mtu kutoka ulaya siyo dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…