The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mbona wengi Sana ,hii imekaaje nyie Wanasheria Wasomi?Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
kwa maoni yangu hao ni wachache sana ukilinganusha na mahakama zilizopo nchi nzima.Mbona wengi Sana ,hii imekaaje nyie Wanasheria Wasomi?
Ila kweli aisee maana jamaa wanazidiwa kiasi Kwamba Huwa wanapiga Kazi hadi huruma..kwa maoni yangu hao ni wachache sana ukilinganusha na mahakama zilizopo nchi nzima.
hao Majaji wanapaswa wapangiwe mikoani, haswa Mikoa ya pembezoni ambayo ndio inaupungufu, sio kujazana Dsm, mwanza, arusha, wapelekwe mikoani wakahudumie wananchi.
Point yako ya nne, kama unazungumzia Waislam wapo 9 kati ya 22. My God nchi inanuka udini hiii1. Happiness Philemon Ndesamburo ni mtoto wa ndesamburo wa Chadema? ???
2. Naona mahakimu waandamizi wa mahakama za Hakimu Mkazi hawafai, hata mmoja. Amewaonea sana!
Wanawakeni wengi, safi au?
3. Ana wa Tume ya uchaguzi ni wezi wa kura, hafai kabisa. hawezi kutenda haki. Kesho tutamsikia Mahala ni Jaji. .....amewekwa ku handle kesi za uchaguzi za CCM washinde?
4. Na ile dini wako wengi
5. Mawakili wa serikali ni AWARD NA SI WELEDI......
Conclusion: Majaji wa UPE
Ni mwanenu ndio1. Happiness Philemon Ndesamburo ni mtoto wa ndesamburo wa Chadema? ???
2. Naona mahakimu waandamizi wa mahakama za Hakimu Mkazi hawafai, hata mmoja. Amewaonea sana!
Wanawakeni wengi, safi au?
3. Ana wa Tume ya uchaguzi ni wezi wa kura, hafai kabisa. hawezi kutenda haki. Kesho tutamsikia Mahala ni Jaji. .....amewekwa ku handle kesi za uchaguzi za CCM washinde?
4. Na ile dini wako wengi
5. Mawakili wa serikali ni AWARD NA SI WELEDI......
Conclusion: Majaji wa UPE
Wee jamaa nakupinga 100% hivi chukulia mkeo watoto zako wadogo zako wazazi wako wazazi wa mke wadogo wa mk kwa kifupi familia yote wapo nyumban kwako kuna wagonjwa kuna uhahaba wa chakula unaweza kuwaambia ngojeeni nirelax kwanza😂Halafu ukiwasikiliza kwa namna fulani wanavyotamka kuwa hawalali huona kama sifa lakini kwa wenye akili hii sio sifa, kulala ni muhimu kwa afya ya akili na mwili, Rais kujisifu hulali mithili ya manamba au makuli ni ushamba, unaonesha huna team work nzuri zaidi sana upo stone age. Dunia hii iliyo simplified Rais alipaswa a relax ndio maana wanawaona wehu wanaotaka katiba mpya na a well modernized government machinery working system.
Imagine huyo Zuhura anapost vitu saa nane usiku halafu asubuhi saa 7:30 am yupo ofisini!! Pathetic!
Mnastaajabisha sana ninyi!!! Ukisimama nchale ukikimbia nchale ukinyoosha mikono juu rungu! Khaa!Imagine huyo Zuhura anapost vitu saa nane usiku halafu asubuhi saa 7:30 am yupo ofisini!! Pathetic!
ANGEWATEUA na Wale Mawakili wa Kesi ya Kubambikizwa ya UGAIDIRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Wana tuchosha tu hawa watu, angalia huu mfano, yule sheikh anayeswalisha au kuita adhana kwa mtu asiyefahamu anaweza dhani huwa halali, kisa muda mwingi anashinda msikitini, NO!.Halafu ukiwasikiliza kwa namna fulani wanavyotamka kuwa hawalali huona kama sifa lakini kwa wenye akili hii sio sifa,
Sasa si mpàka uambiwe Kama wewe ulivyoniambia sasaMkuu na wewe utakuwa umechoka unahitaji kupumzika! Hiyo date unahamasishwa kujiandaa kuhesabiwa! Tarehe ya tangazo ni 6 August 2022 iko hapo juu kabisa upande wa kushoto!
Majaji wa UPE voda fasterSisi kama Taifa tuna cha kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya namna nzuri ya kupata majaji. Hawa wa kwetu ni majaji wa mwendo kasi! Nao wanafika mahali wanakula rushwa!!
Halafu alisaini hukumu Kama Hakimu/ Jaji? Au Msajiri?Na pia huwa wanafanya kazi za majaji pale mahakama kuu. Nimeshuhudia kesi yangu moja ilisikilizwa na msajili wa mahakama! Ila hawako competent kama majaji!
Mzee uko sabbatical?Kweli unaamini sasa ni bora zaidi?
"Hilo nalo muende mkalitizame"Point yako ya nne, kama unazungumzia Waislam wapo 9 kati ya 22. My God nchi inanuka udini hiii
Kweli hata mimi nimeona majaji wakristo ni wengi kwenye huu mkeka1. Happiness Philemon Ndesamburo ni mtoto wa ndesamburo wa Chadema? ???
2. Naona mahakimu waandamizi wa mahakama za Hakimu Mkazi hawafai, hata mmoja. Amewaonea sana!
Wanawakeni wengi, safi au?
3. Ana wa Tume ya uchaguzi ni wezi wa kura, hafai kabisa. hawezi kutenda haki. Kesho tutamsikia Mahala ni Jaji. .....amewekwa ku handle kesi za uchaguzi za CCM washinde?
4. Na ile dini wako wengi
5. Mawakili wa serikali ni AWARD NA SI WELEDI......
Conclusion: Majaji wa UPE
mara zote nimekuwa nikihubiri "uwiano" ili kujenga umoja thabiti wa Taifa letu, ni jambo la hatari sana kulundika aina mmoja ya watu katika taasisi ya Serikali...jambo hilo halina afya kwa Mustakabali wa Nchi yetu hata kidogo.Point yako ya nne, kama unazungumzia Waislam wapo 9 kati ya 22. My God nchi inanuka udini hiii
Hivi Siro hajafikisha bado umri wa kustaafu? kwa nini alitenguliwa?Mteuwe Sirro kuwa kiongozi wa wasafisha mji wa Dar.