Kifo Cha kayafa kimeacha machawa mengi jangwani yasijue wapi pakwendaNi mbaya kuliko jana, lakini kwakua uliitupa taji ukiamini wakati ni milele imekua tofauti, wakati si milele.
Utapata wapi guts ya zile bandiko zako kabla ya KAYAFA?
Jana ya KAYAFA si ndio imezaa hii Leo?
Hizi mambo zenu za uswahili achaneni nazo!Tatizo sisi wananchi hawataki kusikiliza kilio chetu, Bado Mahakama zetu za juu zinaendelea kuandika haki zetu kwa lugha ya kizungu japo sheria ilibadilishwa!!!
Sasa tunaiuliza mahakama, kuendelea kutumia lugha ya kiingereza ni kuwadharau wananchi au ni kulidharau Bunge ambalo lilitunga Sheria baada ya kilio cha wananchi?!!
Mahakama inafanya hivyo kwa masilahi ya nani haswa?!
utafiti unaonyesha hadi sasa bado hukumu za kesi pamoja na mwenendo wa kesi zote zinaandikwa kwa lugha ya kiingereza ambayo ni changamoto kwa watanzania wanao kwenda kutafuta haki zao mahakamani. kinacho fanyika sasa unapewa nakala ya kizungu na tafasiri fupi sana ya kiswahili!!! wananchi wanataabika kanakwamba hawapo nchini kwao?!!
Je? Mahakama inaendelea kutumia lugha ya kiingereza kwa masilahi ya nani haswa?
Hivi karibuni tumeona maamuzi ya matumizi ya lugha katika taasisi za Kimataifa kama vile; SADC, AU n.k, kwa nini Mahaka za watanzania zinasuasua?!
Kwa nini mahakama hazitaki kutumia lugha ya kiswahili? haswa mahakama za Juuu?!
Tunaiomba wizara ya Katiba na Sheria ilisimamie hili jambo kwa masilahi ya wananchi na kama sheria ilivyo kusudia, Kiswahili kitumike kikamilifu, hatutaki kutafasariwa kutoka kwenye kizungu kuja kiswahili.....kiandikwe kiswahili maana sisi sote ni waswahili, Majaji ni waswahili na Mahakimu ni waswahili sasa kwa nini hukumu iandikwe kwa kiingereza?!
Wee toa TOZO wao wakaleMbona wengi Sana ,hii imekaaje nyie Wanasheria Wasomi?
Kipi kigeni mbona hukushangaa ya ukabila ya jiwePoint yako ya nne, kama unazungumzia Waislam wapo 9 kati ya 22. My God nchi inanuka udini hiii
Ameanza na king**I mpishi mkuu wa kesiANGEWATEUA na Wale Mawakili wa Kesi ya Kubambikizwa ya UGAIDI
sacarsm.Elimu ya uraia inahitajika sana hata kwa GT wetu humu. Mzanzibari kwanza ni Mtanzania ana haki zote za Mtanzania kama Mtanzania mwingine yoyote ikiwemo haki ya ajira ndani ya serikali ya JMT.
Uzanzibari wake ni an added advantage kwa Zanzibar ambayo Watanzania Bara don't enjoy!.
P
Ingawa huko Serikalini kwa Sasa weledi unakuja nyumaMayala hajawahi kupractice uwakili, hapo wenye sifa ni kariba ya Kibatala na awe amefanya kazi yake ya uwakili kwa miaka 15 ndio anakuwa kwenye sifa yakuteuliwa kuwa Jaji na bado kuna mambo mengi yanazingatiwa pia.
Umeshawahi kusikia mBara kateuliwa znz? au ndio Upendo wa MshumaaaElimu ya uraia inahitajika sana hata kwa GT wetu humu. Mzanzibari kwanza ni Mtanzania ana haki zote za Mtanzania kama Mtanzania mwingine yoyote ikiwemo haki ya ajira ndani ya serikali ya JMT.
Uzanzibari wake ni an added advantage kwa Zanzibar ambayo Watanzania Bara don't enjoy!.
P
sema tu mkuu, lengo ni kujenga sio kubomoa.Kuna jambo halipo sawa
Nakunywa hard drinks, siyo hayo mataputapu ya kitanzania. Rubbish!Funguwa macho yako vizuri, uteuzi umefanyika tarehe mwezi wa 8, tangazo la uteuzi limetoka leo tarehe mwezi wa 8, hiyo tarehe 23 iliyopo chini inasisitiza kampeni ya sensa inafanyika tarehe 23 mwezi wa 8.
Punguza K- Vant.
Samia is not serious, Kingai kweli, my Mother, you are not serious? Time will tellAmeanza na king**I mpishi mkuu wa kesi
Hizi ni nafasi za Watanganyika, mahakama kuu si suala la muungano...Nimeona kuna Mzanzibari ameteuliwa.
..Hii ni mahakama kuu ya Tanganyika, ndugu zetu wa Zanzibar wanayo.mahakama kuu yao.
..Mzanzibari anaweza kuteuliwa ktk mahakama ya Rufaa kwani hiyo ni ya muungano.
Kwenye miungano yote, kuna kitu kinaitwa the majority na minority, kwenye muungano wetu, bara ndio the majority Zanzibar ni the minority, tena siku hizi mna bahati, zamani sisi wenzenu kuingia Zanzibar ilikuwa ni unaingia kwa passport!. Mzanzibari ana haki zote za Mtanzania huku bara kama Mtanzania mwingine yeyote, ikiwemo ajira ndani ya serikali ya JMT, na kumiliki ardhi, lakini m-bara hatuna haki ajira SMZ wala kumiliki ardhi Zanzibar!, ingekuwa tuko huru, saa hizi Visiwa vile vingekuwa vimezama!.Umeshawahi kusikia mBara kateuliwa znz? au ndio Upendo wa Mshumaaa
MkuuKwenye miungano yote, kuna kitu kinaitwa the majority na minority, kwenye muungano wetu, bara ndio the majority Zanzibar ni the minority, tena siku hizi mna bahati, zamani sisi wenzenu kuingia Zanzibar ilikuwa ni unaingia kwa passport!. Mzanzibari ana haki zote za Mtanzania huku bara kama Mtanzania mwingine yeyote, ikiwemo ajira ndani ya serikali ya JMT, na kumiliki ardhi, lakini m-bara hatuna haki ajira SMZ wala kumiliki ardhi Zanzibar!, ingekuwa tuko huru, saa hizi Visiwa vile vingekuwa vimezama!.
P
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
KwaRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Ukiangalia list ya wateule wote 22 utagundua kwamba zaidi ya asilimia 80 ya wateule wote kwa nafasi za ujaji wametokea mahakama na baadhi kwenye ofisi za wanasheria wa serikali.Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717