Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Uteuzi Makini ni uhai wa Taasisi ya Urais
 
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?


je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?


katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.
 
Hawana uwezo na sifa! Ulitaka wabaki kwa nini?
 
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.

JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.

MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…