Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Ata ungekuwa wewe umesikia BoT imetayarisha 1 trillion shillings za kukopesha wakulima; si ungeweka mtu wako bank ya kilimo uvune huo mkwanja.

Umeona wapi mtu asiekuwa na banking background akaongoza bank. Mama anaingizwa chaka sana watu wanapora.

Yale yale ya stimulus package, “nchi imechezewa sana” na sasa utamaduni unarudi upya.

Mama rudisha Bashiru ata kwa nafasi ya mshauri binafsi; shauri zako.
Acha upoyoyo wako ,mama kaletwa na Mungu baada ya watanzania kuteseka kwa kipindi cha miaka sita ndani ya taifa lao
 
Makosa ya ajabu sana kwenye hiyo barua ya Ikulu nazani hakuna umakini ofisi inapotaka hiyo ofisi
 
Mkojani anapita juu kwa juu akipata 2025 ana bahati sana....
 
Kuna uwezekano wahusika wanaopitisha majina kwa mama wana lao jambo


Huyu imekuwaje hebu tupeni ufafanuzi wananchi maana tuna haki ya kujua ukweli ndio maana kenya hizi nafasi zinaombwa na interview inafanyika on national tv.
 
Aliondolewa kwa hakuwa hakuwa ametoka kanda pendwa na bado wote walionewa kwa kuwa kuwa hawakutoka kanda pendwa mama angalia namna ya kuwatendea haki
Wewe huna akili,Nyabundege anatokea Musoma na ni kanda pendwa,huyo ni mpigaji
 
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.

JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.

MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
Umenena vyema sana!!!!. Watu wanapotaja chato wajue wanataja kanda ya ziwa(yaani watu walio serious & committed). Wamejichimbia kwenye mizizi ya muhimili na ni wengi sana.
 
Back
Top Bottom