Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?

je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?

katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.
Wataje
 
Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Nilidhani ni mimi pekeyangu ndo sijaelewa hapo

Sijui wameandika kitu gani
 
Nilidhani ni mimi pekeyangu ndo sijaelewa hapo

Sijui wameandika kitu gani

Tuna watu wa ajabu sana safari hii ofisi namba moja. Kiofisi cha watu wawili hakiwezi kuwa na makosa ya kizembe kama haya tunayaruhusuje kwenye ofisi kuu ya nchi? Ni makosa kweli kusema kuwa kwa hali hii ni kiashiria tosha kwamba hatuko salama?
 
Mkurugenzi wa Lake oil kuwa mkurugenzi wa benki ya kulimo safi kabisa
 
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?

je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?

katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.

Safi sana,kazi iendelee.
 
Ata ungekuwa wewe umesikia BoT imetayarisha 1 trillion shillings za kukopesha wakulima; si ungeweka mtu wako bank ya kilimo uvune huo mkwanja.

Umeona wapi mtu asiekuwa na banking background akaongoza bank. Mama anaingizwa chaka sana watu wanapora.

Yale yale ya stimulus package, “nchi imechezewa sana” na sasa utamaduni unarudi upya.

Mama rudisha Bashiru ata kwa nafasi ya mshauri binafsi; shauri zako.
 
Aizuii katiba mpya.mvue nguo mvae katiba mpya ni lazima.Hatuwezi ongozwa na katika mfu.Raisi akifa turudi kwenye uchaguzi tupate chaguo sahihi, umewahi ona wapi Makamu wa raisi smart
utakuwa taahira wewe! nini maana ya kuwa na makamu wa rais? popote pale duniani ni wapi rais alioko madarakani anapofariki wanarudi kwenye uchaguzi wakati kuna makamu wake? nitajia japo nchi moja tu.
 
Back
Top Bottom