Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Huyu Jaffar mbona anafanya makosa kila mara? Anakera sasa!
 
Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Ndo kawaida yao kukosea.
Huoni wengine walipangiwa vituo viwili vya kazi
 
utakuwa taahira wewe! nini maana ya kuwa na makamu wa rais? popote pale duniani ni wapi rais alioko madarakani anapofariki wanarudi kwenye uchaguzi wakati kuna makamu wake? nitajia japo nchi moja tu.
Ujui kitu,nazungumzia smartness ya mtu ,pili sio lzm tufate wengine wafanyavyo.
Mama ameproof failure mapema kabisa na sio chaguo la wananchi.
 
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?

je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?

katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.
JPM aliwaondoa wachagga wote na Wanyakyusa wote kwenye teuzi zake akaweka vilaza watupu toka Chato .Mama mungu akupe maisha marefu .Safisha pia baraza la mawaziri limejaa mawaziri vilaza tangia uhuru haijapata kutokea
 
Hawana uwezo na sifa! Ulitaka wabaki kwa nini?

Eti kwa kuwa walikuwa wateule wa JPM ,kama hawana uwezo mama ondoa wote na bado wapo wengi kama wale aliokusanya toka halamashauri akawapeleke BOT,TRA,na balozi zetu nje ya nchi ,yaani kwa kweli Mungu ni fundi
 
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?

je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?

katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.
Komenti za kimajungu tu....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Aizuii katiba mpya.mvue nguo mvae katiba mpya ni lazima.Hatuwezi ongozwa na katika mfu.Raisi akifa turudi kwenye uchaguzi tupate chaguo sahihi, umewahi ona wapi Makamu wa raisi smart
Duh! Mbona wa Kenya yuko vizuri mzee? Biden alikuwa makini kwa Obama, huyu wa kwetu yuko vizuri sana sema kamdomo tumekasiba kiaina!
 
Yule big mtoto wa Magu yupo hazina,sema kanajitaidi kwakweli. Tunakapenda sana hapa maana hakana majungu!
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.

JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.

MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
 
Pongezi kwa wateule wote.
Jambo la msingi wachape kazi, watanzania wanataka kuona matokeo mazuri ya utendaji wao na sio kukaa kimyaaaa wamejifungia ofisini ma kuzurura tu na ma V8 na mwisho wa mwezi wanapokea mishahara na marupu rupu kibao, tatueni kero na shida za wananchi. tokeni msikae maofisini.
 
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?

je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?

katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.

nawasilisha.
Waziri anaishi kwa kudra za mama mkwe,kazi za uvuvi huko lindi zinamchosha
 
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.

JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.

MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
Endelea kujidanganya
 
Huyu Rais KILA siku kuteua,haoni kwamba Sasa ni kero,unateuwa wee mpaka unamzidi mungu, katiba mpya ni sasa
Mnakuwa wasahaulifu na wabinafsi kama sio chuki swala la kuteua limefanywa na marais wote,na hakuna aliye teua kama mwenda zake maana anateua saa nane anatengua saa tisa.
 
Mnakuwa wasahaulifu na wabinafsi kama sio chuki swala la kuteua limefanywa na marais wote,na hakuna aliye teua kama mwenda zake maana anateua saa nane anatengua saa tisa.
Sawa,SASA KATIBA MPYA ITAKAYO MPUNGUZIA RAIS YEYOTE TEUZI ZA KIUPENDELEO,maana 75 % ya teuzi zipo kikada,kikada, kiundugu, kikonection, bila kujali uwezo wa mtu, ndo teuzi za Rais chini ya katiba hii, kisa ni madaraka makubwa ya rais
 
anarudi tena serikalini baada ya Jpm kumuondoa Tib corporate sababu ya underpeformance
Aliondolewa kwa hakuwa hakuwa ametoka kanda pendwa na bado wote walionewa kwa kuwa kuwa hawakutoka kanda pendwa mama angalia namna ya kuwatendea haki
 
Back
Top Bottom