WatajeKwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?
je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?
katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.
nawasilisha.
Wewe Mlawi, neno sahihi ni 'afanye nini ' siyo hafanyaje. Utakuwa Mlawi wa Burundi wahedPasco sijui hafanyeje ili ateuliwe? Labda ni Karma.
Nilidhani ni mimi pekeyangu ndo sijaelewa hapoJamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Nilidhani ni mimi pekeyangu ndo sijaelewa hapo
Sijui wameandika kitu gani
Myebusi naona unanishambulia sana. Hata hivyo kiswahili nimejifunza ukubwani tena 'tuishen'.Wewe Mlawi, neno sahihi ni 'afanye nini ' siyo hafanyaje. Utakuwa Mlawi wa Burundi wahed
Mgerasi sizitaki hizo teuzi za 'kisoro'.Mkaldayo wewe hutaki teuzi?
Pasco sijui hafanyeje ili ateuliwe? Labda ni Karma.
Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?
je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?
katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.
nawasilisha.
Umemsahau Pasco mayala ambae Marais wote wamemsusa
Huyu Rais KILA siku kuteua,haoni kwamba Sasa ni kero,unateuwa wee mpaka unamzidi mungu, katiba mpya ni sasa
anarudi tena serikalini baada ya Jpm kumuondoa Tib corporate sababu ya underpeformanceMkurugenzi wa Lake oil kuwa mkurugenzi wa benki ya kulimo safi kabisa
Mmoja aliyeteuliwa anatokea Lake Oil , unafahamu ni ya nani ?
Mimi nafahanu ni ya Ridhiwan.. japo kwa hakika ni ya Baba Ridhiwan.Mmoja aliyeteuliwa anatokea Lake Oil , unafahamu ni ya nani ?
Balozi wa Qatar ....Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
utakuwa taahira wewe! nini maana ya kuwa na makamu wa rais? popote pale duniani ni wapi rais alioko madarakani anapofariki wanarudi kwenye uchaguzi wakati kuna makamu wake? nitajia japo nchi moja tu.Aizuii katiba mpya.mvue nguo mvae katiba mpya ni lazima.Hatuwezi ongozwa na katika mfu.Raisi akifa turudi kwenye uchaguzi tupate chaguo sahihi, umewahi ona wapi Makamu wa raisi smart