Huyu Jaffar mbona anafanya makosa kila mara? Anakera sasa!Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Ndo kawaida yao kukosea.Jamani ni kama kuna maneno hayapaswi kuwemo kwenye huu waraka kwenye no 1 para ya 2. Jaffar tunaomba utulie fanya kazi kiweledi acha kutudhalilisha kiasi hiki,
Ujui kitu,nazungumzia smartness ya mtu ,pili sio lzm tufate wengine wafanyavyo.utakuwa taahira wewe! nini maana ya kuwa na makamu wa rais? popote pale duniani ni wapi rais alioko madarakani anapofariki wanarudi kwenye uchaguzi wakati kuna makamu wake? nitajia japo nchi moja tu.
Hiyo mtaisikia tu.Mbowe sio gaidi,Tunataka katiba mpya
JPM aliwaondoa wachagga wote na Wanyakyusa wote kwenye teuzi zake akaweka vilaza watupu toka Chato .Mama mungu akupe maisha marefu .Safisha pia baraza la mawaziri limejaa mawaziri vilaza tangia uhuru haijapata kutokeaKwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?
je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?
katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.
nawasilisha.
Samia Suluhu Hassan hana UWEZO WA KUTENGENEZA AJIRA ZA KUDUMU 40,000VIJANA WANASUBIRI AJIRA 40,000 ALIZOAHIDI SIKU YA MEI MOSI.
Hawana uwezo na sifa! Ulitaka wabaki kwa nini?
tatizo nyotaPasco sijui hafanyeje ili ateuliwe? Labda ni Karma.
Komenti za kimajungu tu....Kwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?
je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?
katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.
nawasilisha.
Yeah,hapo ilikuwa lazima tumuweke maana muhimi sana!Nimeona jina la mwanakitengo
Duh! Mbona wa Kenya yuko vizuri mzee? Biden alikuwa makini kwa Obama, huyu wa kwetu yuko vizuri sana sema kamdomo tumekasiba kiaina!Aizuii katiba mpya.mvue nguo mvae katiba mpya ni lazima.Hatuwezi ongozwa na katika mfu.Raisi akifa turudi kwenye uchaguzi tupate chaguo sahihi, umewahi ona wapi Makamu wa raisi smart
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.
JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.
MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
Magufuri alitengeneza ajira ngapi za kudumu?Samia Suluhu Hassan hana UWEZO WA KUTENGENEZA AJIRA ZA KUDUMU 40,000
Nawe utakua unarembua kama mama
Waziri anaishi kwa kudra za mama mkwe,kazi za uvuvi huko lindi zinamchoshaKwanini Mh. Rais Samia aliwafuta kazi wakurugenzi (DEDs) wote waliozaliwa Chato?
je, maDAS nao wajiandae kufutwa kazi na waziri Mchengerwa?
katika uteuzi wa majuzi Wa wakurugenzi Wa mamlaka za serikali za mitaa... wakurugenzi walioteuliwa na JPM wameondolewa kwenye nafasi zao, wote waliozaliwa Chato.
nawasilisha.
Endelea kujidanganyaSIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.
JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.
MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
Mnakuwa wasahaulifu na wabinafsi kama sio chuki swala la kuteua limefanywa na marais wote,na hakuna aliye teua kama mwenda zake maana anateua saa nane anatengua saa tisa.Huyu Rais KILA siku kuteua,haoni kwamba Sasa ni kero,unateuwa wee mpaka unamzidi mungu, katiba mpya ni sasa
Sawa,SASA KATIBA MPYA ITAKAYO MPUNGUZIA RAIS YEYOTE TEUZI ZA KIUPENDELEO,maana 75 % ya teuzi zipo kikada,kikada, kiundugu, kikonection, bila kujali uwezo wa mtu, ndo teuzi za Rais chini ya katiba hii, kisa ni madaraka makubwa ya raisMnakuwa wasahaulifu na wabinafsi kama sio chuki swala la kuteua limefanywa na marais wote,na hakuna aliye teua kama mwenda zake maana anateua saa nane anatengua saa tisa.
Aliondolewa kwa hakuwa hakuwa ametoka kanda pendwa na bado wote walionewa kwa kuwa kuwa hawakutoka kanda pendwa mama angalia namna ya kuwatendea hakianarudi tena serikalini baada ya Jpm kumuondoa Tib corporate sababu ya underpeformance