Uteuzi: Rais Samia ateua Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Msajili wa Hazina, Mhasibu Mkuu wa Serikali

Acha upoyoyo wako ,mama kaletwa na Mungu baada ya watanzania kuteseka kwa kipindi cha miaka sita ndani ya taifa lao
 
Makosa ya ajabu sana kwenye hiyo barua ya Ikulu nazani hakuna umakini ofisi inapotaka hiyo ofisi
 
Mkojani anapita juu kwa juu akipata 2025 ana bahati sana....
 
Kuna uwezekano wahusika wanaopitisha majina kwa mama wana lao jambo


Huyu imekuwaje hebu tupeni ufafanuzi wananchi maana tuna haki ya kujua ukweli ndio maana kenya hizi nafasi zinaombwa na interview inafanyika on national tv.
 
Aliondolewa kwa hakuwa hakuwa ametoka kanda pendwa na bado wote walionewa kwa kuwa kuwa hawakutoka kanda pendwa mama angalia namna ya kuwatendea haki
Wewe huna akili,Nyabundege anatokea Musoma na ni kanda pendwa,huyo ni mpigaji
 
SIO KWELI. VIJANA WA CHATO WAMEJAA KONA ZOTE KUANZIA IKULU, BOT, WIZARA YA FEDHA HADI TAMISEMI.

JESCA MWENYEWE YUPO REA ANAKULA TU MPUNGA MREFU.

MIZIZI YA CHATO IMEJICHIMBIA CHINI SANA. HUYU MKOJANI HAWEZI KUING'OA!
Umenena vyema sana!!!!. Watu wanapotaja chato wajue wanataja kanda ya ziwa(yaani watu walio serious & committed). Wamejichimbia kwenye mizizi ya muhimili na ni wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…