UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Im happy for whats happening... Watanzania ni watu wa kulalamika tu always hakujawahi kuwa na jema. Raisi wa kujali maslahi ya wananchi hamumtaki mnamuita mshamba raisi wa kujali maslahi ya magenge ya mafisadi mnamtaka ila mmepata mnaanza kulia lia tena.

Nikifikiria tulikuwa na raisi nationalist ila chuki dhidi yake ilikuwa kubwa kiasi cha kumuandalia kifo sababu tu washenzi walikuwa hawapumui now naona ushenzi uendelee tu mpaka siku ambako dunia itafika ukomo!

Warudishane na warithishe na watoto cycle iendelee hii nchi ishakuwa ya kifalme sasa.
 
Kmmmk kweli yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ muthafuqaz never get fed up got damn! CCM is a Cartel of Money Bugs
 
Hivi viongozi ni hawahawa tu? Khaaa!
 
Kwahiyo lile kundi la tutamuongezeaaaaa ndilo bora?
Mimi sizungumzii makundi,I am above that.Nazungumzia weledi,haki,logic,utendaji bora,kuteua bila kujuana na urafiki kutegemeana na weledi na utendaji ulio tukuka.
 
Mimi nilimpenda Magu sana mkuu,kwa hiyo tupo pamoja.He was the right President for this nation,for this generation and for this time.Aliipenda nchi yake upeo na watu wake kindakindaki,ila Watanzania vichwani hamnazo.

Extrovert hata hivyo tunapaswa kuwahurumia ndugu zetu hawa,they are enslaved,brainwashed and mind controlled.Seriously Watanzania ni so mind controlled and enslaved kiasi kwamba they do not know what is even right and wrong,ni wakusamehe bure.
 
Sawa Samia the incarnate of Jakaya Kikwete(SIJAK),kazi itaendelea.
 
We jamaa ndio mpumbavu kweli. jibu swali, ulitaka akina nani wateuliwe?
Kama taifa lazima kuwe na succession from generation to another. Unapowarudisha watu kama kina Sophia simba, basi aidha taifa haliwapiki vijana wa kuchukua madaraka/nafasi au unapata dhana kwamba vyeo ni vya kupeana. Watu kama kina Kinana baada ya kulitumikia taifa mrefu na kustaafu, iliwapata wawe washauri wa vijana na sio wao kupewa majukumu mapya tena.
Lakini hili ni Tanzania isiyo na Baba wa Taifa
 
Kuna kazi zinahitaji uzoefu zaidi,mfano hiyo kazi ya Sofia Simba ni ya kutoa ushauri tu na maelekezo, sio ya utendaji. haina mshahara zaidi ya posho za vikao, na hivyo vikao kwa mwaka havizidi vitano! Kwa Kinana mama alihitaji mtu mwenye uzoefu na chama kwa ajili ya kumshauri vizuri mambo ya chama! uweke kijana asiekuwa na uzoefu atamsaidia nini? read between the lines
 
Ni kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…