Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kwahiyo lile kundi la tutamuongezeaaaaa ndilo bora?Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo lile kundi la tutamuongezeaaaaa ndilo bora?Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Kwahiyo chuma kirudi ama!Tumepigwa Mno Huyu Mama
ateuliwe baba yako na mjomba wako
Im happy for whats happening... Watanzania ni watu wa kulalamika tu always hakujawahi kuwa na jema. Raisi wa kujali maslahi ya wananchi hamumtaki mnamuita mshamba raisi wa kujali maslahi ya magenge ya mafisadi mnamtaka ila mmepata mnaanza kulia lia tena.Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Mpigwe tu mpaka mfe wazee raha sana yaniMkuu wewe acha tu.Naona 2025 mbali sana,na hata huko sidhani kama kuna natumaini kwa safu anayoipanga.Yaani ni ya wapigaji tupu.Mungu atusaidie sana.
Kmmmk kweli yani 😂😂😂 muthafuqaz never get fed up got damn! CCM is a Cartel of Money BugsNchi hii yaani ukishakuwa kwenye system basi hutoki. Mijitu imeshastaafu (wala haifi!). Imeiba vya kutosha. Mitajiri haswa haswa. Bado inarudishwa tu. Hakuna wengine wanaoweza kushika hizo nafasi? Imagine Mrema yule aliyeonekana kanisani akifunga ndoa hawezi hata kusimama bado ni mwenyekiti sijui wa bodi gani. Aliyeturoga alishakufa kmmk [emoji51][emoji51][emoji51] [emoji706][emoji706][emoji706]
Hivi viongozi ni hawahawa tu? Khaaa!Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Sambamba na uteuzi huo, Rais Samia amemteua Obey Nkya Assery kuwa Mwenyikiti wa Bodi ya Usimamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC). Bw. Assery ni Mshauri Mwandamizi, Taasisi ya Global Alliance for Improved Nutrition, Dar es Salaam.
View attachment 2186352
Mimi sizungumzii makundi,I am above that.Nazungumzia weledi,haki,logic,utendaji bora,kuteua bila kujuana na urafiki kutegemeana na weledi na utendaji ulio tukuka.Kwahiyo lile kundi la tutamuongezeaaaaa ndilo bora?
Mimi nilimpenda Magu sana mkuu,kwa hiyo tupo pamoja.He was the right President for this nation,for this generation and for this time.Aliipenda nchi yake upeo na watu wake kindakindaki,ila Watanzania vichwani hamnazo.Im happy for whats happening... Watanzania ni watu wa kulalamika tu always hakujawahi kuwa na jema. Raisi wa kujali maslahi ya wananchi hamumtaki mnamuita mshamba raisi wa kujali maslahi ya magenge ya mafisadi mnamtaka ila mmepata mnaanza kulia lia tena.
Nikifikiria tulikuwa na raisi nationalist ila chuki dhidi yake ilikuwa kubwa kiasi cha kumuandalia kifo sababu tu washenzi walikuwa hawapumui now naona ushenzi uendelee tu mpaka siku ambako dunia itafika ukomo!
Warudishane na warithishe na watoto cycle iendelee hii nchi ishakuwa ya kifalme sasa.
Unataka askofu wako ateuliwe?Jibu liko wazi.
Sawa Samia the incarnate of Jakaya Kikwete(SIJAK),kazi itaendelea.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Sambamba na uteuzi huo, Rais Samia amemteua Obey Nkya Assery kuwa Mwenyikiti wa Bodi ya Usimamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC). Bw. Assery ni Mshauri Mwandamizi, Taasisi ya Global Alliance for Improved Nutrition, Dar es Salaam.
View attachment 2186352
Stupid!You are a minion,moron,loon,sadist,degenerate,zombie,robotic and psycopath!Unataka askofu wako ateuliwe?
Kama taifa lazima kuwe na succession from generation to another. Unapowarudisha watu kama kina Sophia simba, basi aidha taifa haliwapiki vijana wa kuchukua madaraka/nafasi au unapata dhana kwamba vyeo ni vya kupeana. Watu kama kina Kinana baada ya kulitumikia taifa mrefu na kustaafu, iliwapata wawe washauri wa vijana na sio wao kupewa majukumu mapya tena.We jamaa ndio mpumbavu kweli. jibu swali, ulitaka akina nani wateuliwe?
Watu wana hati miliki! Harafu utasikia nchi ni yetu sote!Hivii,hakuna watu wengine wanarudishwa wale wale?Disgusting.There are better people than Sophia Simba jamani,lakini kwa nini hivi?
Kuna kazi zinahitaji uzoefu zaidi,mfano hiyo kazi ya Sofia Simba ni ya kutoa ushauri tu na maelekezo, sio ya utendaji. haina mshahara zaidi ya posho za vikao, na hivyo vikao kwa mwaka havizidi vitano! Kwa Kinana mama alihitaji mtu mwenye uzoefu na chama kwa ajili ya kumshauri vizuri mambo ya chama! uweke kijana asiekuwa na uzoefu atamsaidia nini? read between the linesKama taifa lazima kuwe na succession from generation to another. Unapowarudisha watu kama kina Sophia simba, basi aidha taifa haliwapiki vijana wa kuchukua madaraka/nafasi au unapata dhana kwamba vyeo ni vya kupeana. Watu kama kina Kinana baada ya kulitumikia taifa mrefu na kustaafu, iliwapata wawe washauri wa vijana na sio wao kupewa majukumu mapya tena.
Lakini hili ni Tanzania isiyo na Baba wa Taifa
Katiba mpya muhimu
Anateua kila siku kila mtu
Nguvu ya rais imepindukia
Kataa katiba ya kikoloni hii.
Ni kweli mkuuMimi nilimpenda Magu sana mkuu,kwa hiyo tupo pamoja.He was the right President for this time.Aliipenda nchi yake upeo na watu wake kindakindaki,ila Watanzania vichwani hamnazo.
Hata hivyo Extrovert tunapaswa kuwahurumia ndugu zetu,they are enslaved,brainwashed and mind controlled.Seriously Watanzania ni so mind controlled and enslaved kiasi kwamba they do not know what is even right and wrong,ni wakusamehe bure.
Nipo kiongoziUpo wewe?