Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Hao waislamu umewaona hapo tiss tu huko kwingine ni wafuasi wa dini gani
 
Aliyetoa habari za huyo "mlolokole" kutahadharishwa sana atatumbuliwa alikuwa ni Kigogo2014 kule twitter hata siku yake mchana huo aliandika na jamaa akatolewa so labda iwe ni coincidence hiyo ndio ilikuwa ID yake ya humu kama naye hakuwa anacopy.

Sababu za yule bwana kutolewa zilikuwa ni za ajabu tu maana mwanzo aliwekwa house arrest baadae ndio akapelekwa Windhoek.
 
1968 wahafidhina wa kanisa wakafanya sensa na kuja na matokeo ya wakiristo kuwa wengi,wakapeleka umoja wa mataifa,wakaulizwa Kuna janga gani limewakuta waislam tu wa Tanganyika mpaka kupungua hivi,wakashushuka,tangu pale hapakua na kipengele Cha dini kwenye sensa Hadi Leo,2012 ponda na wenzake walitaka iwekwe column ya dini kwenye karatasi za sensa lau sivyo waislam wasusie,Cha ajabu miongoni mwa waliokua msitari wa mbele kupinga Hilo ni maaskofu,hizo takwimu zako unazozionesha ndizo zilizomvuruga ponda na wenzake Hadi kutaka column ya dini,huo ni uzushi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri wanadai wapo 8m,walokole hata 5m hawafiki,hiyo jumla chini ya 26m,tz Ina watu 65m,hao 40m+ ni akina nani!?
 
Kanda ya kaskazini hampo, juu kusini ndo usiseme, magharibi na kati hampo, lake zone hampo nyie kwenu pwani tu eti ruvuma waislam kweli wewe kichaa. Ukristo una miaka 2000+ , miaka 600 badae ndo muddy akatunga ngonjera zake tena kwa msaada wa wakatoliki zaidi ya 40% ya watz ni wakatoliki nyie kwenu pwani tu
I proud to be ROMAN catholic
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Sukari sugar sukari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…