Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Nyinyi si mpo wengi?sasa turuhusu zipigwe kila mmoja akisaidiwa na master wake(arabs vs whites) alafu majibu yatapatikana tu atakayeshinda ndo anatawala mazima mana hizi kelele za sisi sijui wengi tushazichoja
 
Mkurugenzi wa usalama wa taifa wa ccm!.....
 
Nyinyi si mpo wengi?sasa turuhusu zipigwe kila mmoja akisaidiwa na master wake(arabs vs whites) alafu majibu yatapatikana tu atakayeshinda ndo anatawala mazima mana hizi kelele za sisi sijui wengi tushazichoja
Una akili timamu!?..master wenu wazungu?..sisi hatuna master
 
Taja wilaya za ruvuma,iringa tupo tangu mkwawa,tabora,kilimanjaro tupo,singida tumetawala,ni mbeya na Arusha tu tupo wachache,Arusha kwenyewe wamasai ni wapagani, ukiristo umeingia tz 1800s,wakati 800 Kuna Islamic Emirates kilwa/pwani
 
Wakatoliki wapo 32 million ukienda Lutheran wapo 17 million Anglican 8 million Sabato 4 million Pentecostal 5 million Inland Church 2 million.
 
Yeah,nchi hii Ina waislam wengi kuliko Imani yoyote,ile kujazana wafuasi wa Paulo tu ofisi za umma inaenda kuisha,so zowea
Mbona hatuwaoni mashuleni hao wengi, mbona hatuwaoni katka kugombea nafasi mbalimbali, mbona hatuwaoni zinapotangazwa nafasi za kazi? Katika 100 wataonekana 7 au 10 na bila upendeleo maalumu hawaezi kupenya.
 
Kama unajua wewe mwenyewe hutoshi, basi acha kutumbua tumbua bianadamu c wakamilifu
don't assume kwamba anatumbua watu kwa vile anaona mapungufu.... unampa credit za uongo

huyo Siwa kakaa miezi 10, leo kastaafu, alipomteua majuzi alijua anaenda kustaafu in months....


alitaka huyo Siwa aondoke na mafao ya Mkurugenzi Mstaafu... Rais anaigharimisha nchi big time, anafilisi nchi. Huyu Mombo nae atakaa kidogo atamtoa, na yeye anaenda kula mafao ya Mkurugenzi Mstaafu.... Mama ni mgawanyisha mavyeo, anadhani nchi ni ya kutafunwa na wachache na ku share maulaji within a few elites .... hana huruma hata kidogo na rasimimali za nchi na maslahi ya wananchi walioko nje ya system....

Pin the blame at the mausoleum doorstep of the founding father. Yote haya kasababisha Mwalimu. Alisema siku akija kiongozi mkora, jahili mfakamia madaraka, mtaona cha mtema kuni. Sasa kwa nini hukubadilisha mfumo ambao wewe ndo umeusuka, na wewe ndo umegundua mfumo ni effed up ???
 
Alifanya kosa gani yule bwana? Why house arrest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…