UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais Samia Suluhu Hassana amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi.

Vile Vile Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kamishna Kaganda anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Uteuzi umeanza rasmi.

Tazama video hapa chini kuona alivyowafokea Trafiki wanaoendekeza Rushwa


 
Rais Samia Suluhu amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi.

Aidha, Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi, amechukua nafasi ya Kamishna wa Polisi (CP), Benedict Wakulyamba ambaye atapangiwa kazi nyingine.

 
Anaapishwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…