UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

IGP Sio wote anao wapanga yeye?
Ukiona mbwa juu ya mti jua amepandishwa,huyo IGP na team yake huwezi jua wamechangia kwa kiasi gani Kum-recommend huyo maza Kwny mamlaka ya uteuzi au huko Kwny vetting yake.
 
Alistahili kuwa IGP. Sasa aanze kuwa fundisha trafiki miongozo ya kazi zao. Sio kukusanya hela za watu barabarani kwa rushwa.
Kwa vigezo gani unasema alistahili?Sirro akiwa RPC alikua amenyooka kuliko maelezo.Alivyokuja kua IGP nadhani unaelewa kilichofuata.

Ulishafika level za Kule juu unaachana na ethics za kazi yako,miongozo na utaalam wako then unafuata waliokuweka hapo wanataka Nini.Ukienda kinyume utapata tabu saaana
 
Acha tuone kama atafanikiwa kulinyoosha Jeshi la polisi. Maana Hiyo nafasi aliopewa haikuja by accident
Huyu anashughulikia zaidi utawala na maslahi ya waajiriwa.
Nafasi yake sio kubwa kufuatilia na kusimamia maadili saana.

Hyuyu ni HR tu.
Mwenye nafasi nzuri kuleta mabadiliko ni IGP.
Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa pia
 
Hongera sana Suzan Kaganda... kipindi yupo RPC kinondoni wakina paul makonda walimchongea mama wa watu mpaka akapelekwa makao makuu ... eti rpc knd anachukua hela kwa wafanyabiashara wa shisha na wauza unga
 
Maza yuko vizuri ofcourse,mcheki hapa
 
Back
Top Bottom