UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

Mkuu huko ndani kugumu mno.
Hiyo ni miradi ya watu hadi wanasiasa wamo.
Utashangaa akiingia humo atapooza kama sio yeye vile.
Nafsi yake haiko hivyo. Mungu ata muepusha na hayo mapepo.
 
Wakulyamba bwana, niliwahi kufanya nae kazi akavuruga kile kikosi Cha polisi Cha ikulu, wakawa hawaelewani na yule Mmama Rpc wa Ikulu
 
Suzan Kaganda Anakua mwanamke wa pili tangu jeshi lianze kufikia cheo cha Kamishna.
.
Alianza mama Alice Mapunda
 
Acha tuone kama atafanikiwa kulinyoosha Jeshi la polisi. Maana Hiyo nafasi aliopewa haikuja by accident
 
Hongera kwa aliyeteuliwa na Pole kwake kwa aliyetolewa
 
Back
Top Bottom