Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

Mpuuzi kabisa huyu
 
Huyu alipaswa kuwa kiongozi upande wa chama ili awe anapewa agenda za kusema... huku ambako anatakiwa kutumia akili na hekima na busara kama kiongozi wa serikali hawezi. Anaamini katika kupaniki na uongozi wa mabavu.
 
Nimeona video ikitembea Mtandaoni kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar Robert Chalamila, kiukweli kama umewahi kupeleka mkeo Kujifungua kisha unaona kauli kama hizi lazima utetemeke!!!

Binafsi namuona kama Muuaji, hana utu, pamoja na kauli za kuchangia lakini ameonyesha wazi kwamba sio mwema kwa watu wake anaowaongoza.

Tunajua unaweza kuwepo utaratibu wa kuchangia ila ndio kwa kauli hizi.. Mwanamke akishaanza harakati za kutapika, kila kitu kinakua alijojo unafika hospitali unaambiwa rudisha nyumbani patakalika kweli?

Nimewahi kufika Leba wanapojifungua wanawake, sauti zile sio za kuskia na kuzizoea leo kiongozi kama Chalamila anatoka hadharani anaongea upuuzi namna ile?? Noo noo hii haikubaliki hata kidogo, iko haja kwa mamlaka kuangalia namna ya kumpa muda wa kupumzika huyu mtu..

Kama ni kuchangia mhudumie Mke wangu ajifungue salama ili akitaka kutoka ndio nilipe, ila sio hela kabla hajazaa hii hapana kusema ukweli
 
Vp kama katumwa, mara ngapi wanasimama na kusema kauli zao ni kauli za aliewatuma
 
Nae kasoma na kupata sifa ya kuongoza watu?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Watanzania Tuko soft na emotional sana...Tumezoea kubembelezwa hatupendi ukweli mchungu...
 
Acheni kum-attack mh. Chalamila.
We ukipewa hata ukuu wa Wilaya tu, nina imani hata siku moja huwezi kutoboa
Nafasi ya Chalamila hata ukiingia kilabuni ukafanya random selection ya mlevi wa komoni anaweza fit. Wote sawa ila mmoja ana cheo mwingine hana
 
Lazima kuna tatizo mahali; kuna kitu hakiko sawa.
LIPO tatizo kubwa. Kikawaida hizo gloves na hivo vifaa tiba vinatoka Bohari kuu ya Dawa. Na tunaona kwenye Mitandao Bohari kuu ya Dawa kwa sasa inazalisha na gloves huko Iringa. Mbali na hapo Sitegemei gloves itakosekana Bohari kuu ya Dawa . Na kama hakuna…. Kariakoo kwa wakinga zipo nyingi.

Chalamila alipaswa kupiga simu kwa mkurugenzi wa Hosp , je ni kweli hakuna gloves , nyuzi , mikasi, Blades na pads kwa kujifungulia….. those are very basic medical equipment in Hosp ,

Kisha Mkurugenzi aulizwe shida nini ? Kwanini hakuna

Je havipo
Bohari ya Dawa, hamjapeleka oda ?

Yeye qmekurupuka bila ya kujua huenda tatizo ni kubwa zaidi
For as long as CCM ipo Madarakani, wananchi mtaendelea kudhalilika

Hayo majitu ni majizi
Kiongoz asie na ethics ni MZIGO
 
Nafasi ya Chalamila hata ukiingia kilabuni ukafanya random selection ya mlevi wa komoni anaweza fit. Wote sawa ila mmoja ana cheo mwingine hana
Vetting system za siku hizi ni magumashi. I doubt kama kuna vetting now days

Chalamila alipaswa kuwa WINGA pale kko

Jiji la Dar haliitaji kiongozi muflisi wa akil km yeye
 
DC na RC wawe wanapigiwa kura. Huwezi ongoza watu wasiokuchagua. Au huwezi kuwachagulia watu mtu wa kuwaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…