Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

Watanzania Tuko soft na emotional sana...Tumezoea kubembelezwa hatupendi ukweli mchungu...
Ukwel upi?

Do you know How Hospital works ?

Km angekosa dawa kama Misoprostol etc etc we would understand

Any Hosp haipaswi kukosa Oxytocin, gloves, mkasi, Blades , pads etc …. Wanapata ruzuku kila mwaka

Usi comment kitu huna elimu nacho
 
Watu kama hawa hupata hizo post kama shuran kwa kulamba makalio ya viongozi ;
Sio kwa competency zao. Ndio mana tunasema katiba mpya. Mkuu wa mkoa ni mtumishi….. haipaswi kuwa presidential appointee. Wafanyishwe interview… atolee jasho that post

Presidential appintment ni uhuni
 
Utaingia kwenye copy yao utakua kama wao tu..
Niliachana na utumishi wa Hospital ya Kagera baada kuona ndani ya utumishi kuna chain ya vilaza na wanapenda short kati na ujanja ujanja. Nikahamia Ocean Road ….. kukawq kuna afadhali kidogo but still i was not satisfied na utumiishi…… nikaona bado sitokuza my carrer path….. nikatimkia WHO.

Inategemea umekuzwa vipi, wengine tumekuzwa na madingi full msimamo na kujiamini……kwasababu hakuna mwingine kama wewe…… if you cant believe in yourself…… then who will ? Kusimamia misingi yako ni lazima in Life ….. mambo ya uchawa unawaachia watu low class wasio na future kwenye dunia zaidi ya kula

I was not raised to compromise my personal beliefs na values. Sijui uchawa na blah Blah za ku bow down

Never for me . Siwezi kuingia kwa mfumo wa aina hiyo
 
Huyo aliyepata muda wa kupiga simu hakwenda kujifungua. Alikua mgonjwa wa kawaida
 
Kwa sisi ambao tuna mlengo wa ki chalamila hatuoni tatizo.

Kuna walio anzisha Uzi kabisa kulala PRIVATE WARD hospital ya serikali ni 75,000 na ushee kwa siku moja na haupewi chochote hata maji ya kunywa Sana Sana ni kulalia godoro, kubadilishiwa shuka..

Ni WATANZANIA wangapi Wana afford kulipa hio 75,000 ili walale private ward.

Zipo hospital za private wanalipa Hadi 25,000 kupata huduma ya private ward why kwa hospital za serikali huduma ziwe ghali kuliko private?

Chalamila yupo sahihi hatupendi kuambiwa UKWEL na siku zotee UKWEL unaumaa
 
Watanzania Tuko soft na emotional sana...Tumezoea kubembelezwa hatupendi ukweli mchungu...
Ukweli mchungu ndio nini? Kama kiongozi ni mfariji na sera za wajawazito ya serikali inasemaje? Kosa la mwananchi mlipa kodi ni nini wakati sera haisemi hivyo?
Mapungufu ya serikali kiongozi utoe kauli ya kipumbavu kama hii?

Tatizo la mkipata mnawaona wote wasionazi mataahira
 
Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.

Ila kauli za magufuli zilikua zinachana mbavu hahahah jamaa alikuwa anajitopokea tu kilichopo kichwani mwake potelea mbali hahaha
 
Chalamila yuko sahihi sana kwa blunt language aliyotumia, sijawahi kuona huduma za bure zikawa ni QUALITY SERVICE, bora watu wawe na insurace au wachangie (cost sharing), ili kuboresha huduma
 
Mimi nadhan hujaelewa. You need to hear yourself first. Pia pitia mchakato wa hii mada, what was the issue

Otherwise tukueleweshe kwanza
 
Chalamila yuko sahihi sana kwa blunt language aliyotumia, sijawahi kuona huduma za bure zikawa ni QUALITY SERVICE, bora watu wawe na insurace au wachangie (cost sharing), ili kuboresha huduma
Shida hapa weng hamuelewi Health system ya Tanzania inafanya kazi vipi

Issue ya kuwa na Insuarance na ishu ya kukosekana vifaa basic vya kujifungulia ni ishu mbili tofauti

Mkianza kuingiza mambo ya bima ya Afya, mnatoka nje ya mada

Kama angekosa dawa…… mjadala ungeweza kuhusisha bima ya Afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…