Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

mi nimewaza kwenye mzizi wa tatizo (inadequate health funding), solution ni insurance coverage
 
Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Magufuli alikuwa anacha kuchana live but alikuwa akejeli au kudharau live. Chalamila is completely different hajui wapi na when na audience gani aongee na hivyo
 
mi nimewaza kwenye mzizi wa tatizo (inadequate health funding), solution ni insurance coverage
Umejuaje kuwa ni inadequate funding? Je kukosekana kwa gloves , blade, Scissors , gauze for delivery is merely due to inadequate funding?

Do you know anything about vertical programs ?

Unatambua kwamba unaweza kuwa na bima ya Afya na ukaenda Hosp na ukakosa huduma ?

Narudia tena wengi hamjui health system ya Tanzania inafanyaje kazi. Nimefanya kazi kwenye health system ya Tanzania for 8 years tena kwenye gvt hospitals’

Hosp inaweza kuwa na fund and yet isiwe na vifaa tiba : that is why nimeuliza how did you know shida ni fund ?
 
Mimi nadhan hujaelewa. You need to hear yourself first. Pia pitia mchakato wa hii mada, what was the issue

Otherwise tukueleweshe kwanza
Nilitoa mfano huduma za afya huku kwetu Tanzania haziwezi kua bureee kiasi hicho unacho taka.

Unajua kitengo Cha mifupa hapo tmk hospital ward za kawaida huwa zinajaa na kuwa flooded??

Kwakua wewe upo OTTAWA huwezi jua matatizo ya hospital zetu unabakia kutoa lawama za ovyo ovyo kabisaa.

Ushawai kua na MJAMZITO ukampeleka government hospital kujifungua??

Unajua kwa siku hapo temeke hospital inapokea wamama wajawazito wangapi kujifungua ?!

Chalamila yupo sahihi ni jukumu letu kujiandaa pia kuchangia huduma za afya maana hupaswi kuiachia serikali kila kituu na chalamila katumia maneno MAGUMU MAGUMU Kama ya MDUDE CHADEMA.
 
Rais Samia alimteua Chalamila huku akijua tabia yake. Nakumbuka hata alipomteua kuwa RC wa Mwanza alielezea kuhusu mdomo wake...

Cha ajabu ni kwamba hata mteuzi mwenyewe ana mdomo mbaya sana. Kauli kama Kifo ni Kifo tu dhidi ya mauaji ya mzee Kibao, kauli ya Bi Chura Kiziwi, Kauli ya kusema utekaji ni drama..... hazina tofauti na huyo mpumbavu ambaye kila akiongea anareveal kiu yake ya kuua au watu wafe
 
Hahahahaha huyu jamaa hewa kweli, eti dawa za raisi Samia??? Wakati Kodi zetu ndio zinanunua madawa na vifaa, huu UCHAWA MBAYA SANA..
Alichomaanisha ni kwamba Dawa za msaada wa Marekani ni za Sa100 mumewe na ukoo wake, kwa hio wanazitoa nyumbani kwao na kuwapatia nyinyi wananchi mafukara mnaougua mimba zenu huko masikini msitibiwe vizuri ili mfe zile hospital za gharama sio kwa ajili yenu nyinyi msio na pesa yoyote ya kulipa ndio maana yake muelewe vizuri huna hela ya matibabu baki nyumbani kata mizizi

Kuna Rais mmoja wa Nchi fulani alishawahi kua Waziri wa Afya na Mambo ya Kienyeji zingatia Mambo ya Kienyeji
 
😄
Hahaha

Ova
 
Huyu Chalamila ni mvuta bangi na hili siyo siri nafikiri hata mamlaka ya uteuzi inafahamu sasa sijui ni uchawi au kitu gani kinamlinda.
 
niaifahamu hiyo industry, health budget 40% ni donor funded, hatuna uwezo huo wa kutoa huduma bure 100% (TB and Leprosy, HIV AIDS, Maternal care, Malaria, Chidren <5 yrs, Wazee >60 etc ni donor funded)
 
Magufuli alikuwa anacha kuchana live but alikuwa akejeli au kudharau live. Chalamila is completely different hajui wapi na when na audience gani aongee na hivyo
Narudia tena hii tabia kaiga kwa Magufuli, hakuna cha kuchana live wala nini.
 
Binafsi baada ya kukisoma kiumbe cheusi…siulizagi tena.
 
niaifahamu hiyo industry, health budget 40% ni donor funded, hatuna uwezo huo wa kutoa huduma bure 100% (TB and Leprosy, HIV AIDS, Maternal care, Malaria, Chidren <5 yrs, Wazee >60 etc ni donor funded)
Tumeshatoka kwenye 40%….. do you have updated feed ? Kama huna……katafute

Pia umeelewa Msingi wa mada ni Nini ?

Unapozungumzia inadequate fund ndio mana hakuna gloves, unahakika kama shida ilikuwa ni fund?

Sources za kukosa med eq ni fund pekee yake ? This very general comment kwenye ulimwengu wa Research ….

. kuna confonders nyingi sana apart from fund zinazoweza kupelekea kukosekana kwa equipment moja wapo ni uzembe , do you know that ?

Then , How did you conclude kuwa ni fund ?

Kama unao uhakika kuwa hakuna gloves kwasababu Hosp haina fund…… please provide your source ili tu close hii case
 
100%✔️
 
Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Magufuli kweli alikuwa na lugha ngumu sometimes, lakini si kwa wakina mama wenye nahitaji kama hawa.
 
mi nimewaza kwenye mzizi wa tatizo (inadequate health funding), solution ni insurance coverage
1-Ya kukodi bajaji arudi nyumbani mmewe akampasue kwa mkasi.
2-Wanang'ang'ania maiti kwani wanataka kuila.
Your browser is not able to display this video.
 
RC anakataza siasa wakati yeye anafanya siasa. Hivi kama angetoa hiyo elfu hamsini kwa mtu mwenye uhitaji angepungukiwa na nini? Haya maneno makali anayoyatoa yatamgharimu mustakbal wake. Hekima ni kitu muhimu sana.
 
Magufuli kweli alikuwa na lugha ngumu sometimes, lakini si kwa wakina mama wenye nahitaji kama hawa.
Sio kweli, akiwa Lindi kuna mama alimfuata akamwambia kuna shida ya maji, akamwambia kamuambie mumeo akojoe upate maji, maana wamechagua diwani qa upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…