Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

Huna cha kunifundisha kwenye gvt hospitals. Nimekuwa frontline for good 8 years.

Nakushauri Msikilize Huyo Mwehu, then soma my post…… kisha ndio uje kucomment
 
Huna cha kunifundisha kwenye gvt hospitals. Nimekuwa frontline for good 8 years.

Nakushauri Msikilize Huyo Mwehu, then soma my post…… kisha ndio uje kucomment
Wewe unaendeshwa na mihemko, una mtisha nani? Nipo kwenye gemu muda.

Chalamila Hana tatizo na hata mama Samia hawezi wasikiliza nyie mkiambiwa ukweli mchangie huduma mnasema mmetukanwa.

Binafsi naunga mkono hojaaa za chalamila,
Sawa,
kila lakheli PhD candidate OTTAWA☺️ jikite/ wekeza nguvu kwenye masomo yako acha kujiingiza kwenye siasa.
 
Sio kweli, akiwa Lindi kuna mama alimfuata akamwambia kuna shida ya maji, akamwambia kamuambie mumeo akojoe upate maji, maana wamechagua diwani qa upinzani.
Sawa, je, mara ngapi alionesha kuwajali wakina mama na kuwapa nafasi ya kueleza shida zao na kuwasaidia..?
 
I thought upo na kitu kichwani.kumbe hunq tofauti na chalamila.


Nimestushwa pia na kauli yako wekeza na masomo niachane na siasa. Vijana kama wewe ni Hasara kubwa.

Siasa ndio zinapanga Payee yako kama kweli wewe hata una ajira, siasa ndio zinapanga mshahqra wako. Siasa ndio zinapanga mafao yako ya uzeeni , ficha ujinga wako, babu tale ambae ni standard 4 failure ndio anaenda kukupangia mafao yako ya uzee,

jUmesoma chuo gani hapo Bongo? Huwezi kuwa product ya MUHAS au CUHAS…. Kama kweli wewe ni MD , basi utakuwa product ya Kampala University kile chuo cha hakuna kufeli, shame

Come to the point ! Ni kwanini Hosp inakosa a very basic equipment kama Gloves ? Blades Scissors , gauze!?
Ni Shida ?

Pia , kwanin aambiwe atoe 50,000?last price ya delivery kit was 12,000

Je majibu ya Chalamila kwa huyo mama kama kiongozi ni sahihi?

Nini chalamila alipaswa kufanya kama kiongozi?

Sitak kuingiza ishu za bima, that is another subject ! Yeye Chalamila alipaswa kufanya nini baada ya kupewa hizo info?

Kutukana kama alivyofanya?

Kuwasiliana na Mganga mfawidhi ?

Je Chalamia ametoa sababu kwanini gloves hakuna kituoni ?

Ni aibu sana kuwa na kijana kama wewe
 
Mama Mjamzito kanyanyaswa sana, tena na Kiongozi mkubwa anaye muwakilisha Raisi.
Huyu uteuzi wake ulifaa ukome tangia Jana hafai kukalia zile ofisi za wananchi..

Wameingia gharama ngapi kupeleka wasanii Dodoma , wanashindwa kumsaidia huyu mama Mjamzito.
 
Una uwezo mdogo Sana wa KUJENGA hoja.
Wewe ni mzushi na mtu hovyo wa ajabu ajabu/ hata huko Ottawa UMEENDA kupoteza muda / kushangaa magorofa Rubbish 🗑️.
Mtu mwenye exposure hawezi kua na akili / mentality za kimhemko Kama unazo zionyesha hapa jukwaani several times.
Mtu alie soma akaelimika huwezi mkuta ana piga porojo na taarabu ovyo ovyo Kama Malaya wa kwa mtogole.
Na hiyo Ottawa itakua ni ya kwa bibi nyau ama Ottawa ya kwa mpalange.

Sitojibishana na wewe again tupo ligi mbili tofauti mwingine NBC PRIMIER LIGUE.

In short hii mentality yako itakuchelewesha Sana Sana/ you're too Naive.

Wasalaam.
 
Ni utetezi kama wa Ndugai na Nape tu.
 


Haya Nenda Ukalale…… next time usiingie kwenye hoja kama huna elimu na hilo jambo. Otherwise nenda facebook na instagram ukabishane na mfano wako.

Hapa ni facts na data…….usidokoe dokoe kama kuku wa Kienyeji while you are not well informed.

Pole
 
Kama kiongozi katika hali ya kawaida huwezi kumjibu mtu hivyo. Ni kukosa busara na hekima

Pili kama kiongozi alipaswa kutafuta mzizi wa tatizo , kwanini hakuna gloves and all that !!

Baada ya kupata majibu aangalie kama kuna knowledge gap kwa mgonjwa basi eleweshwe utaratibu sahihi. Hizo ndio sifa za kiongozi , sio huyu muhuni anatukana watu huku anasema naongeo kwa lugha nyepesi.
 
Sawa, je, mara ngapi alionesha kuwajali wakina mama na kuwapa nafasi ya kueleza shida zao na kuwasaidia..?
Akina mama gani boss, hao aliokuwa anawasaidia kusaka kiki?
 
Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Umekosoa, umefurahisha baraza au ndio unapunguza hasira kwa huyo marehemu?
 
Mkuu Fanya utafiti utagundua kuwa watu wenye bichwa kama huyo mkuu wa mkoa hamnazo,isingekuwa ukuu wa mkoa angekuwa anaokota makopo huyo mpuuzi
Si bora kuokota makopo, wenye vichwa vile huwa dish linayumba muda wote.
 
AJIUZULU
 
CCM ilipo fikia haijali tena wananchi kwa sababu wanajua kabisa nyuma yao lipo jeshi la polisi
Nyuma yao wapo "polisi" na sio "jeshi la polisi". Hakuna kitu kinaitwa "jeshi la polisi". Jeshi ni moja tu, JWTZ.
 
Kama mtu kama huyu yupo ofisini tunashida sana kama taifa.
 
Ccm wanajali nini kwani!? Wahuni kama Bashite, Chalamila na Sabaya eti ndio viongozi!?
 
Huyu jamaa nahisi kuna nyaya mbili zisizopaswa kugusana kichwani ila za kwake zimegusana zinapigisha kichwa shoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…