Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Nabii ataheshimiwa kwa unabii wake kutumia!! unabii wa Lema ulitumia au haukutumia!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Biswalo alitakiwa awe chini ya ulinzi achunguzwe alivyopiga mabilioni ya Watanzania
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Mlikuwa mnafanya naye huo ujambazi..? How do you know..?

Au ndiye nyie ambao mkibananishwa kuthibitisha mnaishia kujitetea kuwa "nimesikia tu watu wanasema sema sokoni...!!??"

So pathetic..
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Mbona umepanic kama umekalia mpini usio size yako?
 
Unafanana sana akili na pacha wako!
 
JPM alimpapasa Lema, ndiyo maana ana kinyongo na Maganga. Maganga alifanya kazi ya kutukuka ujue
 
Kwani JM anasemaje ?? TUME Majaji wanasemaje ? Au ushauri wao ni siri ?
 
Pengine KATUBU kwa mama SASHA
 
View attachment 1781259

Mytake : NI AIBU KUBWA SANA KWA MTEULE WA RAIS KUPINGWA MAHAKAMANI .
inamaana inawezekana Uteuzi wa Majaji ukafanyika kwa kujuana juana tu na kuwekana wekana tu!! siamini hata kidogo.

tatizo watanzania tumekuwa na tabia ya kupigana fitina na majungu sana kwa lengo la kuharibiana.

Biswalo amefanya kazi zake akiwa DPP kwa mujibu wa taratibu na sheria, amefanya kazi kubwa sana ktk Taifa hili na hivyo anastahili kabisa kuwa Jaji wa mahakama kuu.
 
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Si wapinzani waliwachelewesha kuleta hayo maendeleo ?
Mnataka waysongelee wao tena wakati waliwachelewesha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…