Ni kweli hafai kwenye mizania ya ujaji usiongelee ushabiki, Jaji mwenye historia ya usimamizi wa kupindishwa kwa sheria kwa ajili ya kuubeba muhimili ulio msimika katika nafasi yake ya UDPP huyo hafai kuwa mlezi wa sheria
Kwa sababu jaji kimantiki ni mlezi wa sheria za nchi tuwe wa kweli Biswalo hafai kuwa Jaji huu ni ukweli, bila ya kujali itikadi za kisiasa na uccm au uchadema sote tumeshuhudia ofisi ya DPP ilivyoku ikifanya kazi kinyume na taratibu za ofisi ya uma ya DPP inavyopaswa kwa mujibu wa sheria
Biswalo hafai.