Ha ha ha Ila wee jamaa ...shida sana yaani sio kwamba jamaa alibambikia watu kesi mbaya Ila kwasababu amemtoa Nursrat jela usiku nakwenda kuwa mBungeDuh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Biswalo kumtoa Nusrat Henje awe mbunge imekuwa nongwa!
Halafu Unabii wake unatimiaLema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Sifa ya mtu kuwa DPP ni lazima awe na vigezo/sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hivyo Biswalo tayari alikuwa na sifa za kuwa Jaji wa Mahakama Kuu toka siku aliyoteuliwa kuwa DPP, njia za kumuondolea sifa hizo ni kwa uamuzi wa Rais kumuundia baraza la kumchunguza tuhuma za kwenda kinyume na maadili, Rais hajafanya hivyo, Mahakamani tafsiri itakuwa nyeupe tu kuwa huyu mtu bado ana sifa za kuwa Jaji maana ni DPP.
Njia nzuri na labda sahihi ya kumuondoa Biswalo katika nafasi hiyo ni kwa kumshinikiza Rais kutengua uteuzi huu kwa maslahi ya umma kwa kutumia labda maandamano ya amani.
Akiisha apishwa. Kwa sasa hajaapishwa bado. Ndiyo maana Lema anazungumzia kuzuia kuapishwa.Lema bana,eti kaagiza mawakili wake wazuie uapisho wa jaji
Mtu akisheteuliwa kuwa jaji,ni kamati zao tu za kimaadili zinaweza kupendekeza atenguliwe,sio mahakama
Wekeni majina ya hao majaji humu ndani wengine tuko remote bado hatujayaoniNimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu.
View attachment 1781259
Mytake : NI AIBU KUBWA SANA KWA MTEULE WA RAIS KUPINGWA MAHAKAMANI .
DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana
Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...www.jamiiforums.com
TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji
Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.www.jamiiforums.com
Wekeni majina ya hao majaji humu ndani wengine tuko remote bado hatujayaoni
Ohoooo !!Unafanana sana akili na pacha wako!View attachment 1781481
Ngoja Mahakama iamueinamaana inawezekana Uteuzi wa Majaji ukafanyika kwa kujuana juana tu na kuwekana wekana tu!! siamini hata kidogo.
tatizo watanzania tumekuwa na tabia ya kupigana fitina na majungu sana kwa lengo la kuharibiana.
Biswalo amefanya kazi zake akiwa DPP kwa mujibu wa taratibu na sheria, amefanya kazi kubwa sana ktk Taifa hili na hivyo anastahili kabisa kuwa Jaji wa mahakama kuu.
wewe ni nani mpaka uuingilie mamlaka ya Rais?!Ngoja Mahakama iamue
Akiisha apishwa. Kwa sasa hajaapishwa bado. Ndiyo maana Lema anazungumzia kuzuia kuapishwa.
Is there any substantial evidence that backs up that Biswalo Mganga is implicated in office abuse as quoted from the two attached threads and personal opinion by Godbless Lema a none legible fugitive in Canada? Is it justifiable for a none legible fugitive to curse a judiciary appointment into office suggesting Biswalo Mganga was not qualified to be a judge and that he was liable to be imprisoned or lamenting in hell. Does Godbless Lema have the moral authority to subscribe to such a punitive statement against a judiciary appointee?Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu.
Mytake : NI AIBU KUBWA SANA KWA MTEULE WA RAIS KUPINGWA MAHAKAMANI .
Pia soma
Hivi ule wa jiwe ulitimia au?Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Anakosa vipi credibility wakati bado ni mtanzania? Haki ulizonazo wewe hta lema pia anazo shida ipo wapi?Lema ni mkimbizi, afanye shughuli za wakimbizi huko,maji yalimzidi akayakimbia.
Afahamu kuwaTanzania ni sovereign state,inaendeshwa kwa katiba,sheria ,kanuni na taratibu ilizojiwekea ,yeye alikwishahamia nchi nyingine, mambo ya Tanzania ayaachie watanzania wenyewe wanaoishi Tanzania kila mwaka siku 365, yeye keshapoteza credibility.
Kwamba huoni shida majambazi kuingia kwenye mifumo muhimu ya utoaji haki? Hizo barabara na maji utapatia wapi ukiwa na mijambazi hii? Jipime akiliChadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Nimevutwa zaidi na sentensi hii, nanukuu;Imekuwa ni desturi kwa chadema kujiona wana haki ya kukosoa tu!
Kwa muda mrefu uhuru wa habari kichwani mwa Chadema unamanisha ni kutukana na kukosoa wengine ila wao kukosolewa hapana.
Ukiwakosoa chadema watakuita ni dikteta ila wao wakikukosoa wanaita ni uhuru wa habari!!!
Kitendo cha Chadema kuanzisha kampeni ya kuunfollow Clouds kisa tu wamehoji watu wanaowakosoa siyo haki kabisa na ni unyumbu na uzwazwa wa hali juu kwenye chama hicho.
Jiulize kama Lema ambaye hana cheo chochote anaishi kwa kulelewa na wanaume wenzake huko Ulaya anaweza kuanzisha kampeni ya kipuuzi namna hiyo kisa tu dikteta Mbowe amekosolewa, vipi Lema angekuwa rais wa nchi angechukua hatua gani kwa clouds na wakosoaji wa mienendo ya Chadema?
Bila shaka chadema wanaohubiri demokrasia na uhuru wa kutoa maoni hawana chembe hata tone la uvumilivu pindi wanapokosolewa.