Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Bora umemwambia huyo mshamba na mjinga maana anahangaika sana leo na li roho lake la kishetani na kiibirishi. Anaandika kila muda lakini bado anagonga mwamba maana Makonda kashateuliwa na Anaendelea kuteka hisia za watu ambao wamefurahishwa na uteuzi huo.huyo jamaa itakuwa ni mchawi na kama siyo mchawi basi itakuwa ni jambazi linaloweza kukutoa roho.Mkuu sijajua Jinsia yako. Lkn kwa tabia hii ya kumchukia Mwanaume/Makonda kiasi hiki una shida pahala. Au tuseme una Roho ya UCHAWI ulichokosa ni Vifaa vya kumdhulu huyu mwamba. Yaaani huu Uteuzi umekuwasha washa sio mchezo yaani leo una Nyuzi zaidi ya 5 unaongelea Makonda jinsi asivyofaa. Take it easy Mkuu mambo mengine hayahitaji usiriaz wa aina hiyo.