Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Ukiona mtu anamchukia mtume Paul, ujue ni wale drug abuse au mchawi
 
H
Uteuzi wake ni "blessing in disguise". Ni mwanzo wa mwisho wa aliyemuweka hapo. Sioni Kinana na Chongolo wakiwa na amani kwa uteuzi huu. Akina Nape hawana la kufanya na atawavuruga vilivyo.
Kabla ya uchaguzi Chongolo atakuwa ametemwa.
Hata mbowe hana amani na Chadema
 
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

Ccm sio chama cha siasa, ila mfumo wa kiutawala wa kihuni tu.
 
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

Kwani kule Uchina Ridhiwan alikamatwa na nini?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Uteuzi wake ni "blessing in disguise". Ni mwanzo wa mwisho wa aliyemuweka hapo. Sioni Kinana na Chongolo wakiwa na amani kwa uteuzi huu. Akina Nape hawana la kufanya na atawavuruga vilivyo.
Kabla ya uchaguzi Chongolo atakuwa ametemwa.
Huyu Chongolo mwenyewe kapwaya!

Back
Top Bottom