Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Sifa zipi za uongozi hizo unaziziona wewe kwa Makonda, wengine hatuzioni!?
1. Kuwa na ndoto na kuweza kuzisimamia: Makonda alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa dar alitangaza aina ya dar anayoitaka. Hakufanikiwa ila at least tulijua dar anayoitamani. Miti hadi leo ipo hata kama siyo kwa kiwango alichotamani.
2. Uthubutu: Makonda akifikiria kitu anapambana kuhakikisha kinafanyika. Uthubutu ni sifa nzuri ya kiongozi.
3. Kujiamini
4. Ubunifu: Dar haikupoa kipindi cha Makonda. Mara program hii, mara ile.
5. Authority: Makonda ana Mamlaka. Watu walifikiri issue ya level sit dar haiwezakani. Ila wakati wake kutokana na korona iliwezekana sana. Na mengine mengi.

N.B: Siyo kila alichofiri, kuanzisha nilikubaliana naye, ila at least unajua huyu mtu kichwa kinafanya kazi.

Makonda pia ana mapungufu yake kama kutokuwa na lugha za staha au adabu. Makonda hana adabu na ana kiburi. Hapo afanyie kazi sana.
 
2.png

Anasetiwa auze nyumba hapo.
 
waliamini sukuma gang na msoga gang siyo kitu kimoja
Kwa mara ya kwanza umethibitisha kwa maandishi kuwa Sukuma Gang ipo na ni kitu halisi.

Hebu tupe kwa undani hili gang limeundwa kwa malengo gani?
 
Hongera nyingi sana kwako Mh Makonda. Wewe chapa kazi tu kama kawaida yako. Mipasho tuachie sisi wa mitandaoni. Mungu azidi kukutangulia, uzidi kuinuliwa mbele ya wabaya wako. Wasiamini watachokiona daima.
 
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

kwa hiyo wewe unataka kutuaminisha kuwa makonda alikuwa anakosea, acha ushabiki na chuki za kipoumbavu watu wa pwani na ubaguzi na rohon ya uchoyo mbwa nyinyi
 
kwa hiyo wewe unataka kutuaminisha kuwa makonda alikuwa anakosea, acha ushabiki na chuki za kipoumbavu watu wa pwani na ubaguzi na rohon ya uchoyo mbwa nyinyi
Kama sie wa pwani werye wa wapii,ama wa huko mooo kwenye tumsitumsitu🤔🤣
 
Back
Top Bottom