Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Bora umemwambia huyo mshamba na mjinga maana anahangaika sana leo na li roho lake la kishetani na kiibirishi. Anaandika kila muda lakini bado anagonga mwamba maana Makonda kashateuliwa na Anaendelea kuteka hisia za watu ambao wamefurahishwa na uteuzi huo.huyo jamaa itakuwa ni mchawi na kama siyo mchawi basi itakuwa ni jambazi linaloweza kukutoa roho.
 
Yaani Mtu kuweka wazi bila chenga maovu ya Makonda wewe kwako ni chuki?? Kesho keshokutwa uteuzi wake ukitenguliwa nina uhakika utarudi kivingine. Hapo ndipo utawajua Watz dizain yako mlivyo wanafiki.
 

Ccm kamwe haiwatupi waja wake hata kama walikosea Kwa kipindi Fulani

Usishangae kumuona Sabaya tena

Yaani ukiwa mwana CCM hata km Kwa namna moja au nyingine something wrong!

Remember! usiitupe kadi Wala kuichoma moto. One day yes!
Huu ni mpango uliosukwa ukasukika ndg na hao hao vigogo usidanganyike.
 
Ccm kamwe haiwatupi waja wake hata kama walikosea Kwa kipindi Fulani

Usishangae kumuona Sabaya tena

Yaani ukiwa mwana CCM hata km Kwa namna moja au nyingine something whong!

Remember! usiitupe kadi Wala kuichoma moto. One day yes!
Huo ndio ugonjwa wa taifa, kilicho bakia tusubiri gharika iangamize kasumba mbaya tuliyonayo,kwani kwa utaratibu wa asili tulishashindwa hata kabla ya kuanza.🤸
 
Lini utateuliwa pamoja na kunisasambua hapa JF mama hajakuona kabisa
 
Hajaijua Dunia vizuri huyo triple 'mbu' mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…