Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Ukiona mtu anamchukia mtume Paul, ujue ni wale drug abuse au mchawi
 
H
Uteuzi wake ni "blessing in disguise". Ni mwanzo wa mwisho wa aliyemuweka hapo. Sioni Kinana na Chongolo wakiwa na amani kwa uteuzi huu. Akina Nape hawana la kufanya na atawavuruga vilivyo.
Kabla ya uchaguzi Chongolo atakuwa ametemwa.
Hata mbowe hana amani na Chadema
 
Ccm sio chama cha siasa, ila mfumo wa kiutawala wa kihuni tu.
 
Kwani kule Uchina Ridhiwan alikamatwa na nini?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Uteuzi wake ni "blessing in disguise". Ni mwanzo wa mwisho wa aliyemuweka hapo. Sioni Kinana na Chongolo wakiwa na amani kwa uteuzi huu. Akina Nape hawana la kufanya na atawavuruga vilivyo.
Kabla ya uchaguzi Chongolo atakuwa ametemwa.
Huyu Chongolo mwenyewe kapwaya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…