Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa


Ongeza na hawa
Dr mpango akiwa waziri fedha alimpiga mkwara hakutaka kulipa kodi
Pm alikuwa anamdharau sana
 
Mbona mnafikiri kila mtu anajua haya mambo yenu?

Kateuliwa kuwa nani? Lini
 
Ni matusi pia kwa USA.... iliwahi kumpiga BAN asikanyege USAna kumtuhumu kwa makosa makubwa
 
Kazi Iendelee
 
ni huruma ya mama na pia mwenyewe kuomba radhi,nani hajakosa miongoni mwa hao wanaopinga?
 
Nilichompendea makonda amejigunza kukaa kimya pamoja na kushambuliwa kote juu ya madhambi yake.
Kukaa kimya kumbe kunalipa.
 
Huyu ni chongolo?
 
Wewe fala tu mimi siishi kwa uchawa kama wewe fala unajipendekeza hadi unatia kinyaa. Tafuta bwana uolewe tu
Aolewe kama yule chawa kule Salamander tower maghorofani... anadanganya umma yeye ni "Brand influencer na meneja masoko" kumbe kaolewa, na Mume yuko Mombasa... pale ni kwa mashemeji zake.

Na ndomana sijaona comment yake kufurahishwa na teuzi ya bwana Paul pale kwenye page ya Millard

Bifu letu na kina GSM liko palepale
 
Wew endelea kuumia tu ndo keshateuliwa tayari. Makonda ana sifa za kiongozi. Kuna vitu kadhaa akirekebisha tu, hii nchi anaongoza tena vizuri sana.
 
Wew endelea kuumia tu ndo keshateuliwa tayari. Makonda ana sifa za kiongozi. Kuna vitu kadhaa akirekebisha tu, hii nchi anaongoza tena vizuri sana.
Sifa zipi za uongozi hizo unaziziona wewe kwa Makonda, wengine hatuzioni!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…