Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Kwenye kila kitu lazima kuna watao umia na watao furahia
 
Mama Samia amefail sana. Htata kama uDC ulikuwa unatumika kutolewa kama fadhila, hii sasa ni too much. Wateuliwa wenhine hawana clue wala yoyote kuhusu uongozi, uchumi na usalama
 
kwa hiyo ni majaribio?
KATIBA MPYA NI JIBU
D.C. RC DAS ni nafasi za wakosa elimu mipango ya kando wakosa exposure in other words ni nafasi za bakshishi
Halafu wanasema vijana someni Wasome ili....
Hi ya kupelekwa kuishi sehemu huna rafiki hujui mila na desturi ni utumwa
Makazi yao I mean nyumba zao ni za ovyo chafu nyumba tangu ukoloni
Haya paskali daresalama bye bye alberto biashara utahama nayo?!

Katiba Mpya
Uteuzi vigezo kuzingatiwa
Wengine hata kuandika hawajui
Hii nchi nzito sana
 
Mama kwa majibu wa katiba ana mamlaka ya kuteua mtu yoyote lakini ateue watu wenye uwezo ,weledi , elimu , experience , sio unateua watu ,ukiwaona tu unajua kuwa hawa wanaenda kujifunza hawajui chochote zaidi ya 90% ya walioteuliwa .
 
Nani ambaye hana elimu Kati Yao ?
 
Wengine ni form four failure kazi ipo .
 
Journalists hawastahili kazi ya uDC? Je umewapima kwa uwezo wao wa kielimu au umepima kwa kazi wazifanyazo ambazo wewe unazidharau? Wewe ndo una matatizo
 
Mama anasema utoe Na ushauri nini kufanyiwa😀😀😀
 
Hakuna anaezaliwa Mkuu wa Wilaya, acha watu wapewe nafasi wakiboronga watatupwa kampuni..

Nchi ni yetu sote acha tule keki kwa zamu.
We jamaa huwa una akili sana, siku zote umekuwa mtu wa evidence based argument.
 
Mkuu punguza mhemuko, ina maana hata teuzi za Hayati JPM zilikuwa bora kuliko huu????

It's means kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe huu ni uteuzi wa ivyo kuliko zote zilizowwhi kufanyika.
 
Wasanii nao ni watanzania, wapewe nafasi waonyeshe vipaji vyao mbona Jokate ameweza, tuwe wavumilivu tumor mama nafasi afanye kazi
Nani kasema siyo watanzania? Sisi tunazungumzia sifa zinazofanya mtu anateuliwa. Kwa kawaidia kiongozi huwa anaonyesha uwezo wa uongozi kabla hajateuliwa. Huwezi kuishi maishi ya kimagumashimagumashi ukisubiri eti utaonyesha uwezo wako baada ya kuteuliwa. Huyo uliyesema ameweza ni wajinga kama wewe ndiyo wanaona kuwa ameweza. Wenye akili tunajua alikuwa anafanya usanii tu.
 
Journalists hawastahili kazi nya uDC? Je umewapima kwa uwezo wao wa kielimi\u au umepima kwa kazi wazifanyazo ambazo wewe unazidharau? Wewe ndo una matatizo
Tita kwanza ndo uandike ,sijakuelewa .
 
MAMA Kachemka..asipoangalia hatarudishwa kwa chama..kachagua utopolo tu
 
Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Mzee wangu mbona unanikwepa? Nauliza ile ID yako nyingine ya verified user leo umeipumzisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…