Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
NGO Graduate.Uteuzi wa hovyo sana,huyu maza kumbe ni zero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGO Graduate.Uteuzi wa hovyo sana,huyu maza kumbe ni zero
Uwe na huruma MpwaNimeipenda hii
KATIBA MPYA NI JIBUkwa hiyo ni majaribio?
Mbona Jokate ameweza kuingiza vizuri kwenye hiyo post ? Jokate naye alikuwa msanii !!Nafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
Nani ambaye hana elimu Kati Yao ?KATIBA MPYA NI JIBU
D.C. RC DAS ni nafasi za wakosa elimu mipango ya kando wakosa exposure in other words ni nafasi za bakshishi
Halafu wanasema vijana someni Wasome ili....
Hi ya kupelekwa kuishi sehemu huna rafiki hujui mila na desturi ni utumwa
Makazi yao I mean nyumba zao ni za ovyo chafu nyumba tangu ukoloni
Haya paskali daresalama bye bye alberto biashara utahama nayo?!
Katiba Mpya
Uteuzi vigezo kuzingatiwa
Wengine hata kuandika hawajui
Hii nchi nzito sana
Wengine ni form four failure kazi ipo .KATIBA MPYA NI JIBU
D.C. RC DAS ni nafasi za wakosa elimu mipango ya kando wakosa exposure in other words ni nafasi za bakshishi
Halafu wanasema vijana someni Wasome ili....
Hi ya kupelekwa kuishi sehemu huna rafiki hujui mila na desturi ni utumwa
Makazi yao I mean nyumba zao ni za ovyo chafu nyumba tangu ukoloni
Haya paskali daresalama bye bye alberto biashara utahama nayo?!
Katiba Mpya
Uteuzi vigezo kuzingatiwa
Wengine hata kuandika hawajui
Hii nchi nzito sana
Journalists hawastahili kazi ya uDC? Je umewapima kwa uwezo wao wa kielimu au umepima kwa kazi wazifanyazo ambazo wewe unazidharau? Wewe ndo una matatizoAisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa wa siasa na uongozi.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Mama anasema utoe Na ushauri nini kufanyiwa😀😀😀Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza wasanii na watu mitandaoni.
Naona Tanzania inapoteza uelekeo kabisa. Hawa jamaa wanatupa kazi sana kuirudisha Tanzania kwenye reli.
Mimi sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu toka nizaliwe.
Kiufupi rais kaelemewa na majukumu
Swali zuri mkuuAnayestahili kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mwenye sifa gani?
Yeah uko sahihi sanaSiku hii "mentality" itakapotuisha Watanzania,hii ya kuona uongozi ni "kuula", ndipo Tanzania itakuwa na maendeleo ya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa huwa una akili sana, siku zote umekuwa mtu wa evidence based argument.Hakuna anaezaliwa Mkuu wa Wilaya, acha watu wapewe nafasi wakiboronga watatupwa kampuni..
Nchi ni yetu sote acha tule keki kwa zamu.
Nani kasema siyo watanzania? Sisi tunazungumzia sifa zinazofanya mtu anateuliwa. Kwa kawaidia kiongozi huwa anaonyesha uwezo wa uongozi kabla hajateuliwa. Huwezi kuishi maishi ya kimagumashimagumashi ukisubiri eti utaonyesha uwezo wako baada ya kuteuliwa. Huyo uliyesema ameweza ni wajinga kama wewe ndiyo wanaona kuwa ameweza. Wenye akili tunajua alikuwa anafanya usanii tu.Wasanii nao ni watanzania, wapewe nafasi waonyeshe vipaji vyao mbona Jokate ameweza, tuwe wavumilivu tumor mama nafasi afanye kazi
Tita kwanza ndo uandike ,sijakuelewa .Journalists hawastahili kazi nya uDC? Je umewapima kwa uwezo wao wa kielimi\u au umepima kwa kazi wazifanyazo ambazo wewe unazidharau? Wewe ndo una matatizo
Naunga hoja mimi bado nashangaaNafasi wapewe lakini sio ukuu wa wilaya. Wanaelewa nini kwenye utumishi na ulinzi na usalama.
MAMA Kachemka..asipoangalia hatarudishwa kwa chama..kachagua utopolo tuNani kasema siyo watanzania? Sisi tunazungumzia sifa zinazofanya mtu anateuliwa. Kwa kawaidia kiongozi huwa anaonyesha uwezo wa uongozi kabla hajateuliwa. Huwezi kuishi maishi ya kimagumashimagumashi ukisubiri eti utaonyesha uwezo wako baada ya kuteuliwa. Huyo uliyesema ameweza ni wajinga kama wewe ndiyo wanaona kuwa ameweza. Wenye akili tunajua alikuwa anafanya usanii tu.
Mzee wangu mbona unanikwepa? Nauliza ile ID yako nyingine ya verified user leo umeipumzisha?Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.