Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Katibu Mkuu naona umeibuka kumtetea Mwenyekiti wako. Hongera sana, Linda ugali ndugu.
 
Tuendelee kumpigia vigelegele mama samia
 
Hebu tuwekee hako kaorodha kuwa DC wa wilaya hii ni mchambaji au mdangaji au utakavyojua wewe ila nasisi tuone maana huenda mwenzetu unazo taarifa nyeti za watu hao ila sisi hatufahamu.
 
Kweli Mkuu vetting ya hovyo kabisa Mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama wilaya.Mungu atusaidie na kutulinda kwa mkono wake tu.
 
Ovyo yake ni ni mkuu!Mbona iko njemavteuzi hiyo!
 
Kweli Mkuu vetting ya hovyo kabisa Mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama wilaya.Mungu atusaidie na kutulinda kwa mkono wake tu.
Msepende kumtaja taja Mungu kwenye fikra zenu yaani Mungu yupo kuwafuhisha nyie?
Wewe umepata mshtuko na roho imekuuma mno baada ya kuona kina Nassari wamepewa vyeo hamna jingine.
 
Hii trial and error hadi lini? Mtu Watanzania wamemkataa jimboni Kwa kumuona hafai lakini bado anapewa Ukuu wa Wilaya!!!! Baada ya miaka 60 ya uhuru huu upumbavu utaendelea hadi lini!?

Hakuna anaezaliwa Mkuu wa Wilaya, acha watu wapewe
nafasi wakiboronga watatupwa kampuni..

Nchi ni yetu sote acha tule keki kwa zamu.
 
Utaendelea kuumia hivi hivi,kufa hufi ila cha moto utakiona
 
Wewe endelea kuwa wakala wa kuuza kadi za Chadema kwa mshahara wa shilingi mia tano
 
Msepende kumtaja taja Mungu kwenye fikra zenu yaani Mungu yupo kuwafuhisha nyie?
Wewe umepata mshtuko na roho imekuuma mno baada ya kuona kina Nassari wamepewa vyeo hamna jingine.
Hivi Ccm mnajisikiaje kuona watu wa upinzani wakija huko wanalamba teuzi? Hii inadhihirisha kuwa upinzani kuna vichwa makini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…