Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Katibu Mkuu naona umeibuka kumtetea Mwenyekiti wako. Hongera sana, Linda ugali ndugu.Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.