luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hawa maprofessor wabaki vyuoni wafundishe wanafunzi, mimi siungi mkono kutoa maprofessor vyuoni wakapewa vyeo vya kisiasa tena maprofessor ambao walikuwa bora kabisa.Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist Tena wachambaji wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
Sasa maprofesa wakajazwe kuwa maDC huko wilayani na kufundisha WAWAACHIE akina nani ?!!!Aisee uteuzi mbovu 75% .Yaani vyuo vya adminstrative vina changamoto,Kuna ma professor ,wahitimu weredi wakubwa.
Leo hii bongo movie,bongo fravour,Journalist Tena wachambaji wawe ma DC.
Nchi Bado inasafari ndefu Sana ,acha waendelee kututukana mpaka tuishike adabu
😂😂😂😂😂Shilole, amber ruty, wema sepetu , uwoya jiandaenii😂😂😂
NotedMkuu wa Wilaya ni cheo Cha kisiasa tu na Cha kikoloni, kazi wanayo wakurugenzi na ma Dad...
Mzee umefufuka baada ya jiwe kufukiwa?Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
Anaweza kujirekebisha akarudi na kuwa sawa, hata hao unaowaona wanafaa leo huenda huko nyuma waliboronga wakaaminiwa kwa mara nyingine wakajisahihisha...Hii trial and error hadi lini? Mtu Watanzania wamemkataa jimboni Kwa kumuona hafai lakini bado anapewa Ukuu wa Wilaya!!!! Baada ya miaka 60 ya uhuru huu upumbavu utaendelea hadi lini!?
Siku hii "mentality" itakapotuisha Watanzania,hii ya kuona uongozi ni "kuula", ndipo Tanzania itakuwa na maendeleo ya kweli.Inasikitisha sana kuwa na nchi ambayo watu wake wanaamini uongozi ndio keki ya taifa na mtu akipewa cheo ameula
Kwa hiyo unataka wazee wastaafu ndio warudi kuwa wakuu wa Wilaya tena baada ya kuchoka kulitumikia Taifa.Nakumbuka zamani ma Dc walikuwa ni wastaafu au walikaribia kustaafu kwenye idara za ulinzi.(JWTZ & Police)
Embu tuambie. Sifa gani ambazo wame mis ?Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
Ukweli ni kwamba SASHA ameshaharibu na kuidhalilisha Kiti cha Urais. Ni suala la muda tu hata wewe utaungana na Mtoa mada kuhusu udhaifu wa Mama.Wewe nani mpaka useme hivyo cha kushangaza wewe ni mateka wa Mbowe unataka Rais Samia, akufurahishe? Nyie kupinga ndiyo kazi mliotumwa na Mfalme Mbowe, Rais kawambia mpo huru kufanya mikutano yenu nchi nzima au nyie mnafanyie JF.
This is the Man I was talk aboutIvi yule kijana aliyechaguliwa na the late John, ambae alikuwa ni PHD holder tokea china ambae alifanya kazi ndan ya chama na mshahara wake ulikuwa laki 5 bado amebaki ?kama mama kamtoa this is not fair
Sifa/vigezo vya kuwa Mkuu wa Wilaya ni vipi ?Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
Mimi ni mfuasi wa Hashimu rungwe mkuu,sie watu wa ubwabwa .mambo ya uwakala unayajua weweWewe endelea kuwa wakala wa kuuza kadi za Chadema kwa mshahara wa shilingi mia tano
mambo ya kusikitisha mkuuSiku hii "mentality" itakapotuisha Watanzania,hii ya kuona uongozi ni "kuula", ndipo Tanzania itakuwa na maendeleo ya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app