Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki


Pole sana maana mpiga ramli wako kakuingiza chaka!
 
Huyu pia hayupo katika list,???."Mboni"alikuwa Dc katika wilaya moja huko Iringa
 
tetesi zinaweza kuwa na ukweli au la........lakini JPM asipomteua Polex2, nitaandamana.........Yule jamaa ni mpambanaji! ni DIE HARD wa ccm hakuna mfano.
ya Polepole naachana nayo, acha nikupe kisa kidogo, "Baba alikuwa na mbwa wake mkali sana aliyeitwa Ndagile, aliogopwa na kila mtu nikiwemo mimi licha ya mbwa huyo kunizoea kama mtoto wa nyumbani. Alikuwa akifanya kazi nyingine azifanyazo binadamu kama vile kutumwa Dukani, kumpokea mzigo mgeni n.k.
Kwa hiyo, akili yangu kwa wakati huo ilinituma kuamini kuwa mbwa ana akili sawa na binadamu lakini imani hiyo ilitoweka baada ya kumshuhudia Ndagile akitapika (sijui alivimbiwa, alikula chakula kibovu ama vipi) kisha kula tena matapishi yale!".
 
Hili list lengo kuu ni kum preempt mkuu wa nchi ....majina mengine yamechomekwa makusudi kupoteza lengo ....utoto tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…