Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
hiyo ndo maana ya ule msemo YAANI MPAKA MSEMEE!!!Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mkuu umemaliza kila kitu. Bado safari ndefu ili mpira wetu uwe wa kimataifa.
Mkuu usiongee nae kwa hasira m bembeleze bado hawako sawa wana hasira sana ao saivi..kuna mmoja kataka kujinyonga apa saiv tumemuwahiSawa mdogo wake Selemani GENTAMYCINE umesikika haya tufanye mechi sare au tufanye mlitufunga moja bila, haya kakojoe ulale.
Ajengewe mnaraHuu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
1) kuhusu faulo, mchezaji wa Yanga ndio aliyekuwa na mpira na mazingira yaliyopo ni ngumu sana kujua ni yupi aliyefanyiwa madhambi kwasababu hata mchezaji wa Yanga alidondoka pia hivyo kuna uwezekano mkubwa ni kulikuwa na kugongana. Na pia kwenye mpira wa miguu sio kila mchezaji anapodondoka ni faulo bali saa zingine waamuzi hupeta faulo zingine ili mpira uchezeke kama tu akiziona ni ya kawaiida tu kwahiyo imetokea ikawa goli hata Simba wameshapata goli kwa staili hii hii katika michezo dhidi ya timu nyingine. Na sio Simba pekee bali zipo timu nyingi katika ulimwenguni wa soka limefungwa magoli ya aina hiyo.Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.