Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

Utopolo ni SAWA na ccm zao ni kubebwa TU na tff
 
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.

Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.

View attachment 2806245

Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.

View attachment 2806253

Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist

View attachment 2806254

Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.

View attachment 2806255

Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Inawezekana inatafuta namna ya kujifariji au pengine hamtaki kukubali madhaifu yaliyopo. Sio kila mchezaji akiwa chini ni faulo, kama ni hivyo basi mchezo wa mpira ungekuwa kila baada ya dakika kadhaa unasimama simama kwasababu ya mtu kuwa chini. Lakini kinachofanywa na waamuzi hupima ipi inapaswa kusitisha kukatisha kucheza mpira kuendelea.

Picha ulizotuma kuhusu offside kwa angle iliyotumika inaonesha wachezaji wako very tight sana hakuna aliyepo mbele zaidi. Labdda utafute offiside angle kwa kutumia offside camera na kisha utuchoree mistari ya offside. Inonga hakuugusa mpira na pia alimbetua Max
 
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.

Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.

View attachment 2806245

Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.

View attachment 2806253

Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist

View attachment 2806254

Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.

View attachment 2806255

Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Tatizo ni Simba kukosa uongozi, wangeweza kugombea penati mpira ukavunjwa na matokeo yakabaki yaleyale na marejeo yakifanyika Simba na maamuzi wote wangeadhibiwa Ila kapten mwenyewe hajui wajibu wake
 
Wengine sijui mpira mnatizama vip au mnasheria zenu za offside.......... timu hamna mnakabia macho.
 
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.

Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.

View attachment 2806245

Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.

View attachment 2806253

Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist

View attachment 2806254

Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.

View attachment 2806255

Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
....na tukumbuke YANGA ndio inashikiria rekodi ya goli la mapema katika ligi kuu hadi sasa, goli dhidi ya SIMBA dakika ya 2:59. Yaani hadi MSEME.
 
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.

Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.

View attachment 2806245

Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.

View attachment 2806253

Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist

View attachment 2806254

Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.

View attachment 2806255

Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mtumishi, hivi unajua ile ilikuwa ni DERBY !! na unajua maana halisi ya neno DERBY !? Nadhani ukitambua fresh usingeandika hicho hapo juu tena unaweka na tupicha ili kujifurahisha na nafsi yako.
Cha muhimu ambacho refa alijitahidi kukifuata...
1.Soft fouls alikuwa makini nazo mno - kumbuka hizi ni team mbili kubwa na wachezaji ni wakubwa, wajanja na wanajua jinsi ya kumuwin refa, usipokuwa makini unaweza hukumu pasipo sababu za msingi. Ref. kuna mchezaji wa Simba anaitwa Saido ni mwepesi sana kujirusha hata akipitiwa na upepo wa mpinzani wake sasa nawaza kama ww ukiwa refa utapuliza filimbi mara ngapi !?

Back katika picha yako unayosema ni foul, labda utuambie nani aliyefabyiwa faulo, Yanga au Simba ? Mie nilichoshuhudia ni kuwa kulikuwa na collision between players na ndio maana refa akatoa advantage kwa atakayeamka faster na kuwahi mpira. Sidhani kama refa au ww mwenyewe ulitegemea ile movement ingeweza kuzaa goli.

2. Offside traps, nadhani wadau wamegusia zaidi hapo juu kuhusu sheria na maana ya offsides, naomba kuchangia kitu pia kwa ninavyojua (maana nilicheza mpira huko nyuma kidogo) wale jamaa wa Simba waliona wamezidiwa kimbinu na wakajaribu kucheza offside trap technique, but ile ya Mzize jamaa walikuwa wanakabia macho na jamaa aligundua hilo akatoka baada ya mpira kupigwa na Pacome hivyo hakukuwa na offside yeyote.

Otherwise, kwa kujua definition sahihi ya Derby unaweza check South America Derby katika ya River plate na Boca Junior.
 
itawachukua muda mrefu sana akina mwakarobo kurudi kwenye utimamu wao.
KABLA YA DERBY YA KARIAKOO
ROBERTINHO "I'm the king of derby and big match and I like playing big match/ mm ni mfalme wa gemu kubwa na napenda kucheza mechi kubwa"

Robertinho akiwa amevibiwa makande
 
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.

Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.

View attachment 2806245

Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.

View attachment 2806253

Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist

View attachment 2806254

Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.

View attachment 2806255

Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Bado hamjasema....mtasema tuuu
 
Bado hamjasema!mpaka msemeee!yaaaani badoooo kabisaaaa
 
Mkuu umefafanua vya kutosha, asiyeelewa shauri lake.

Ova
B... nimecheka sana. Kubalini tu kushindwa maisha yaendelee maana hata sisi tulilia na penalties za mchongo ngao ya jamii lakini hakikufaa kitu.

Tushike lipi? Wachezaji kuhongwa au magoli ya offside?
Kutapatapa kwa kuku hakumzuii mchinjaji kutimiza azma.
 
Back
Top Bottom