Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.