Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

Mwiko unakusumbua sana!
 
Bado hamjasema, ila mutasema tu.
TABULELEEEE
 
Ni zuzu na mjinga ataamini upakashume wako
 
Mashabiki wa hii timu ni tatizo wengi hamjui mpira mnaongozwa na mihemko🚮🚮

Mshapigwa ✋ tulieni rekebisheni makosa yenu haya ya kutafuta goli flani halikua halali haijawahi kuwa na msaada zaidi ya kujifariji tu.
 


Mo, kocha, na Mume wenu Kibu Dennis kakubali, sasa wewe sijui una shida gani
 
Unajiita uponyaji na uzima, seriously??
 
Basi tukubaliane hapa hapa! Matokeo Full time ni 1-1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…