Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

Sawa mdogo wake Selemani GENTAMYCINE umesikika haya tufanye mechi sare au tufanye mlitufunga moja bila, haya kakojoe ulale.
Najua unatafuta Kilazima Kuingiliwa Kinyume na Maumbile na ndiyo maana Kutwa unapenda Kunishobokea na Kujipendekeza Kwangu. Tafadhali Mimi GENTAMYCINE sifanyi Dhambi hiyo iliyokataliwa na Mola / Maulana kupitia Vitabu vyake Vitakatifu vya Biblia na Quran.
 
Mleta mada ni puga ambaye kimsingi misuli ya macho ilishalegea kwa kupigwa paipu hvo haioni vizuri.
 
Wewe kenge kweli, acha kupotosha watu.
 
 
Mkuu umefafanua vya kutosha, asiyeelewa shauri lake.

Ova
 
Chutama
 
Ina uhalisia Fulani hivi
 
Utopolo hawataki kusikia hzi mambo..hata mm ingekua timu yangu imefanya mafaulo kama hayo na ikaondoka na ushindi nisingetaka kusikia...
 
VAR tuliona mapema mwaka juzi mwigulu akasema afunge viwanja vyote simba mkakataa
 
Baada ya kuuona ushahidi huu na kuridhika bila shuruti, nimeyafuta matokeo na mechi itahesabika kuwa ni sare ya goli moja kwa tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…