momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Hahahaha mimi ni Simba ila umenichekesha sana fala wewe!!!! (Fala) jokeBaada ya kuuona ushahidi huu na kuridhika bila shuruti, nimeyafuta matokeo na mechi itahesabika kuwa ni sare ya goli moja kwa tano.
Unakatwa na utopolokubalini kuwaheshimu mabwana zenu.
Nimekupata, take five(shika tano).Hahahaha mimi ni Simba ila umenichekesha sana fala wewe!!!! (Fala) joke
Inawezekana inatafuta namna ya kujifariji au pengine hamtaki kukubali madhaifu yaliyopo. Sio kila mchezaji akiwa chini ni faulo, kama ni hivyo basi mchezo wa mpira ungekuwa kila baada ya dakika kadhaa unasimama simama kwasababu ya mtu kuwa chini. Lakini kinachofanywa na waamuzi hupima ipi inapaswa kusitisha kukatisha kucheza mpira kuendelea.Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Tatizo ni Simba kukosa uongozi, wangeweza kugombea penati mpira ukavunjwa na matokeo yakabaki yaleyale na marejeo yakifanyika Simba na maamuzi wote wangeadhibiwa Ila kapten mwenyewe hajui wajibu wakeHuu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
....na tukumbuke YANGA ndio inashikiria rekodi ya goli la mapema katika ligi kuu hadi sasa, goli dhidi ya SIMBA dakika ya 2:59. Yaani hadi MSEME.Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mtumishi, hivi unajua ile ilikuwa ni DERBY !! na unajua maana halisi ya neno DERBY !? Nadhani ukitambua fresh usingeandika hicho hapo juu tena unaweka na tupicha ili kujifurahisha na nafsi yako.Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
[emoji23][emoji23]timu pekee yenye risti ya CAF kwa ajili ya malipo ya ushirikina ni ipi? tena risti ya EFDBila ulozi wenu leo tungekua tunasema mengine...
Mmekamatwa jana...haindoi ukweli nyie ni wanga...walozi....[emoji23][emoji23]timu pekee yenye risti ya CAF kwa ajili ya malipo ya ushirikina ni ipi? tena risti ya EFD
Mwakarobo wanapenda kusikia hizi mambo.. Hata mimi ingekuwa timu yangu imefungwa goli 5 ningeleta visingizioUtopolo hawataki kusikia hzi mambo..hata mm ingekua timu yangu imefanya mafaulo kama hayo na ikaondoka na ushindi nisingetaka kusikia...
KABLA YA DERBY YA KARIAKOOitawachukua muda mrefu sana akina mwakarobo kurudi kwenye utimamu wao.
baada ya match nilimuonea iman maana alikuwa anataka kulia aiseeKABLA YA DERBY YA KARIAKOO
ROBERTINHO "I'm the king of derby and big match and I like playing big match/ mm ni mfalme wa gemu kubwa na napenda kucheza mechi kubwa"
Robertinho akiwa amevibiwa makande
Bado hamjasema....mtasema tuuuHuu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
Bado hamjasema!mpaka msemeee!yaaaani badoooo kabisaaaaHuu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
View attachment 2806245
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea pasi ya pacome na yeye kwenda kutoa assist.
View attachment 2806253
Goli la nne: Aziz Ki alipokea pasi akiwa eneo la kuotea kabla hajampelekea Mzize aliyekuja kutoa assist
View attachment 2806254
Goli la tano: Inonga ndiye aliuwahi mpira kwahiyo hapakuwa na penati.
View attachment 2806255
Itakuwa jambo jema kwa TFF kuleta VAR kwenye ligi kuu ili kuboresha ubora wa mpira wa miguu hapa nchini.
B... nimecheka sana. Kubalini tu kushindwa maisha yaendelee maana hata sisi tulilia na penalties za mchongo ngao ya jamii lakini hakikufaa kitu.Mkuu umefafanua vya kutosha, asiyeelewa shauri lake.
Ova
Ujumbe umefika kwenye vyombo husika. Wewe mropokaji nakuacha.Zuzu mwenzie