Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Kuamini kitu hakikifanyi kiwe kweli?
Rejea issue ya Mchungaji McKenzie, Kibwetere au Mwamposa na mafuta ya upako.
Wale waliokufa kwa kushinda njaa wanaenda peponi?
Jibu lipo wazi lakini wameishi maisha yao wakioamini maneno ya matapeli.

Kuna wale wanaojilipua ili waende peponi na kupewa mabikira 72 na wenyewe walichoamini ni kweli?
Wote wenye akili timamu wanajua si kweli.

Kuna wale wanao amini wakifa watazaliwa tena, je ni kweli?
Ukifa umekufa mwili wako utaoza na energy plus essential materials zitakuwa recycled.
 
Sikumbuki kama ni wewe uliuliza issue ya Light Energy.

Kuhusu E = MC2
Kwanza tunatakiwa tuanze na nature ya photons ambazo ndizo zinatupatia light energy.

Kwanza tunatakiwa kuelewa hiyo formula imeanzia kwenye kitu kinaitwa Momentum (P)

P = MV
where V is the speed of light and we can put it in C
kwahiyo formula hiyo ya energy maana yake ni

E = P x C
So photons does not have rest mass (M) they always in motion. Kwahiyo hazina momentum.
So photons are massless but they have energy.

Sasa hapo tunaweza kuongea kitu gani?

So photons energy
E = C
Because they don't have momentum.
Kwahiyo
Energy is not exchangeable to matter.

Matter is a term used in physics to describe anything that occupies space and has mass.
 
Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.





MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
Mwisho upi wakati dunia ipo tu na kisayansi imekuwa estimated angalau 500 billion years kabla jua halijapotea na kuwa mwisho wa maisha au humans watatafuta alternative to escape au kusurvive.
 
Enzi za ujinga hizo.
Ndio maana alibamdikwa msalabani hadharani ila alipofufuka alikuwa yeye na wanafunzi wake tu.

Sasa kama kweli alifufuka kwa nini asingekwenda kwenye hadhara kuthibitisha au sokoni kule aliko lianzisha.

Tukisema hizi ni fabricated story mtakuwa mnakataa?
 
Tunaomba uthibitisho kwamba mtu alikuwa kiumbe wa mwisho Kuumbwa?
 
Ukijua inakuwa sio Imani ila kweli.
Sayansi hhaielezi kitu kwa hisia Bali facts tu.
Naomba tuanze kwanza na mjadala #182 kisha tutaendelea deep kuhusu issue hii uliyoitoa.
 
Mjadala wetu wote umejikita zaidi kwenye upande mmoja wa ulimwengu unaoonekana kwa macho au kuhisiwa na nguvu zake (physical world and its energy). Upepo hatuuoni kwa macho ila uwepo na nguvu zake ni dhahiri kama umeme au sumaku.

Upande wa ulimwengu wa roho (spiritual world and its power), yaani usioonekana na nguvu zake, hatujaugusa. Nao ni mpana na ndiko uliko mwanzo wa ulimwengu unaoonekana. Mungu ni Roho anajulikana kwa jinsi ya roho na hujidhihirisha ukuu wake kwa yale tunayoyaona na kuyahisi kwa jinsi ya mwili au kwa kuonekana.

Maajabu ya uumbaji (sayansi), yanatupa ukuu wa Mungu muumbaji asiyemithilika na kuchunguzika kwa jinsi ya mwili. Utukufu, heshima, sifa na shukrani apewe Yeye, si sayansi aliyoiumba!
 
Hapo nilikosea kidogo kuhusu Photons.
Photons has momentum which measured from the frequency.

So the formula of photons momentum is

p = hf/c

where p is the momentum of the photon, h is Planck's constant, f is the frequency of the photon, and c is the speed of light.

So tunarudi kwenye Einstein equation.
E = PC
Then photon energy
E = (hf/C) × C
Then
E= hf

Hakuna mass hapo.
 
Yes ndiyo maana title ya thread hii imesema Uthibitisho wa Mungu kisayansi

Science is the pursuit and application of knowledge and understanding of the natural and social world following a systematic methodology based on evidence.
 
Uko sahihi, unakufa mwili, unaoza na kuwa udongo. Roho huishi milele yote!
 
Yes ndiyo maana title ya thread hii imesema Uthibitisho wa Mungu kisayansi

Science is the pursuit and application of knowledge and understanding of the natural and social world following a systematic methodology based on evidence.
Naam!
 
Issue ya Light energy sio Mimi
Ila tukija kwenye E= hf
But f=V/ wavelength.

E=hV/ wavelength.
Lakini pia E= MC2 hivi kama kitu ni massless inakuwa zero au 1

Again umesema mass and energy are not interchangeable lakini umekuja kwenye conclusion kwamba E= C.

Wakati utaona photons zinagain momentum kutoka kwenye half of velocity of photons itself which can be described better by plank equation.

Hivyo Bado hujapinga
 
Check #190 nimefafanua zaidi
 
Hapo tunaona ana derive momentum kutoka katika frequency hivyo plank equation tuko pamoja ila ukitoa special case kama photons the rest zinakubaliana na Einstein legendary formula.

Je Mungu ni Energy? Jibu ni hapana
 
Who is the perfect God?
 
Sorry!!
Nimetoa maelezo zaidi kwenye #190 kuna makosa kidogo ya kiufundi niliyaweka.
Momentum of objects with mass
P = mv where v = c speed of light.
Then P = mc
Momentum of massless
P = hf/c

Einstein formula
E = pc
So energy of object with mass
E = mc^2

But energy of photons
E = hf/c × c
E = hf.
Then Energy is not interchangeable to matter.
 
Naam nimeona Nadhani ni ngumu kumuelezea Mungu kutoka upande huu uliochagau hasa akiwa kwa zile sifa zinazotajwa na watu na kumuhubiria hapa Duniani.
Watu hao wanao hubiri bado hawana uelewa zaidi kuhusu Mungu. But science inatupatia uwanja mpana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…