Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Anga haliendelei kutanuka acha uongo.

Kifupi hata hujui anga ni nini?

Ulimwengu ndio unaendelea kutanuka ila anga la dunian lipo vile vile.

Kila kitu kipo kwenye motion na gimba kati ya gimba vinazidi kuwa mbali mbali.

Hii ni kuonyesha hakuna creator aliyefanya na inawezekana miaka mingi ijayo Milky way Galaxy na Andromeda vikamerge.

Sasa umesema anatumia vimondo kupiga Mashetani na majini, ndio nikakuuliza Mbingu ipo kati ya wapi na wapi?

Maana vimondo vinapatikanna Asteroid belt na Kuiper belt.

Mara hujui au huyo Mungu anatumia vimondo kutoka Alfa Centaur
 
Embu niambie ilikuwaje Mitochondria ikawa kwenye mwili wa viumbe?

Halafu sio kuzuka bali ni kuevolve kama ilivyokuwa kwa Ndege na samaki.

Hivi Kuna mfumo mgumu kwenye mwili kama mfumo wa fahamu(neurons, brain na kadhalika)
1. Mkuu, kuhusu Mitochondria kuwa kwenye mwili wa viumbe hai concept yake ni kama viumbe hai wengine kama bacteria na kadhalika.
Najua ushawahi kujiuliza mfano funza Ndani ya Embe lililooza uhai ameutolea wapi lakini ukweli ni kwamba Mungu mwenyewe anasema amejaalia Kutokana na maji kila kitu kuwa hai.
Creator/Designer anasema hivi:-👇🏽
"We made from water every living thing. Will they not then believe?" (Quran 21:30)


SO, Hiyo ishu ya Mitochondria na tiny creatures wengine zinafanana kama tulivyo sisi binadamu uhai wetu designer ameufanya utokane na maji.

2. Kuhusu kuzuka wewe ndiyo ulisema viumbe wanazuka tu, sasa hivi umebadilisha kwamba Wana evolve.....japo kwa akili ya kawaida kama una support Evolution Theory kiumbe inabidi kizuke kwanza ili Evolution into another living being itokee( Au nasema uongo?)


3. Kama unajua brain ni mfumo, tena umekiri kwamba ni mfumo mgumu..... How come unasema mfumo kama huo wa ubongo umejizukia tu from nowhere?
 
Mkuu, Science ndiyo inasema Anga Inaendelea kutanuka.... Kama unabishana mpaka na Sayansi sawa..... But read it on your own siwezi kukulazimisha.

Kumbuka, wanaposema Ulimwengu unatanuka huwezi uka exclude Anga.....
 
Just imagin if light could have mass.
Hebu toka nje uangalie mwanga. Fikiria huo mwanga upo na mass.
Je vipi kuhusu photosynthesis?
Hebu fikiria kuhusu gravitation force kwamba mwange could be affected by gravity.

Fikiria sasa hiyo mass ya huo mwanga. Kumbuka tu ukinyesehwa mvua unaona matokeo yake because ndani ya maji kuna mass.

Just imagin mwanga tungeweza kuubeba.

Oh! Ni mambo mengi tu ya kuwaza kuhusu photons.

But uhalisia they don't have mass but they have momentum.
 
I understand your point of view but if the universe is perfectly engineered(which I don't think is true), then the one who perfectly engineered it must be the work of a more advanced engineer right?
 
Energy Ina Conscious?
Ili kitu kiwe na conscious inabidi kiwe vipi mkuu,?
ukishanijibu nitaweka vizuri hoja yangu
Energy Ina self awareness? No
Energy Ina kumbukumbu?No
unajuaje kama energy yenyewe haina kumbukumbu mkuu ?

Kumbuka energy hatuongei nayo,so kama huongei nayo huwezi kujua kama ina kumbukumbu au laa.

So kusema tu kwamba energy haina kumbukumbu ama self awareness sio kweli kwa sababu hakuna evidence.

Mambo yote unayodhani yana kumbukumbu kama vile binadamu basi wanategemea energy katika kuweka kumbukumbu hizo.

So kama tunategemea energy kuwa na kumbukumbu basi bila shaka energy yenyewe ina kumbukumbu ya kujua nini inatakiwa ifanye ili kuipa neurons uwezo wa kukumbuka,

Unapozungumza kuna misuli ya uso ambayo inakumbukumbu ya kwamba ijivute vipi ili wewe upate kusema MAMA na usiseme MIMI.

so inahitaji hoja za kupinga kwamba energy haina consciousness au awareness ila unachofanya wewe mkuu unaweka KANUSHO bila kuweka hoja.
 
But uhalisia they don't have mass but they have momentum
Hata mimi nahisi kwamba light haina mass,kwa sababu akili yangu ya kawaida onaniambia kwamba mass ama ili kitu kiwe na mass lazima mass hiyo iwe na kianzia chake kwa kipimo.

Kama vile ili huyu awe mtu lazima awe na kianzio ama sifa fulani,huwezi kusema sperm ni mtu ati kwa kuwa ndio origin ya mtu no

So huwenda mwanga ule uzito wake haujafikia kigezo cha kuwa eti tuseme mwanga una uzito,huwenda uzito wake haijakidhi vigezo vya kuupa mwanga sifa ya uzito
 
Mpaka sasa hakuna aliye prove uwepo wa Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kisha, mimi nime prove kisayansi kwamba Mungu perfect hayupo, hawezi kuwepo.

Sayansi inaenda na proof.

Zaidi, dhana ya kuwepo Mungu ina logical issues ambazo hazijawa resolved.

Issues hizo zinaonesha Mungu huyo hayupo.
 
then the one who perfectly engineered it must be the work of a more advanced engineer right?
Kwa hoja ya Mungu sio sawa(Mungu hajaumbwa)

Kwa hoja ya kisayansi sawa(kila kitu kina chanzo)
 
Mpaka sasa hakuna aliye prove uwepo wa Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Sayansi inaenda na proof.

Zaidi, dhana ya kuwepo Mungu ina logical issues ambazo hazijawa resolved.

Issues hizo zinaonedha Mungu huyo hayupo.
Sayansi ni imani kama ilivyo imani nyingine za Dini.

Kukataa uwepo wa Mungu ni imani ambayo inamfanya mtu aamini kinyume na Mungu lazima ataamini kwamba kuna power isiyokuwa Mungu ndio source ya mambo haya.

So ma mantiki hiyo hapa unatangaza Dini yako mkuu kiranga
 
Juu ya kua na trillions of starts inawezekana vitu vilitokea by chance tu, inaitwa probability.
 
Hapana, kuamini kitu hakikifanyi kiwe kweli., Na ndiyo maana tumepewa akili Ili itusaidie kipi cha kuamini na kipi sio cha kuamini.

Hivyo tunasema, kuamini Evolution Theory hakuifanyi Evolution Theory iwe ni Imani ya kweli.
Kwahio dunia na viumbe vyake viliumbwa ndani ya wiki tu, kama kitabu cha mwanzo kinavosema?
 
Juu ya kua na trillions of starts inawezekana vitu vilitokea by chance tu, inaitwa probability.
Na inawezekana havikutokeea by chance,kwa maana kuna aliyevifanya vitokee.na hiyo ndio hoja ya kujadili.

Kwa sababu mbali na vitu ambavyo vinadaiwa vimetokea by chance hakuna vitu vingine vyovyote katika maisha yetu vilivyotokea by chance,so hiyo inatupa faida kwamba tuendelee kufikiri huwenda hata tulivyovikuta havikutokea by chance
 
Kila taarifa iliyopo kwenye subconscious mind yako ume itrain wewe aidha consciously au training ilifanywa na genome yako hakuna miracle hapo!
 
Huyo anakuja kwa kuvizia ananijua. Hii mada ipo juu sana yake. Mwache.
 
Ndiyo kiranga tunataka utuletee proof kuhusu energy ukiambatanisha na Big bang theory.

I know ulishaniweka kwenye ongore list kutokana na kukupa challenge nzito.

Hapa tunawela formula mzee na Scientific evidences.
Tell other what is energy?
 
Kama kitu gan hakikutokea by chance in nature?
Kila kitu kimetokea by chance... milima, maziwa, mito, misitu etc... ukiangalia visiwa vile vinavotokana na volcanic eruptions utaona baadae life inaanza by chance tu. Ndege analeta mbegu mmea unaanza... mwisho wa siku inakua msitu. Wanyama wengine wanaanza kuja. Mwewe anadondosha nyoka aliekua anataga... ivoivo mpaka life inatokea, BY CHANCE
 
Imani ya sayansi huwez linganisha na imani ya dini. Dini haina logic yyte. Yenyew ni kuamini tu blindly. Sayansi inalenga kwenye proof... hatakama proof ikiwa haijapatkana ila sayansi inakua inajaribu kutafuta proof ya kitu.

Nilipokua nasoma dini tuliambiwa kua tukijiuliza sana kuhusu mungu tunakufuru. Sayansi isn't like that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…